AU wachemsha: Raila Odinga ateuliwa msuluhishi Ivory Coast............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,381
911,169
Nimezipata habari hizi punde kutoka kwa ITV.......................ya kuwa AU wamemteua Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kuwa msuluhishi wao wa mgogoro wa uchaguzi wa Uraisi wa ivory Coast..............................

Kwa maoni yangu, AU wamechemsha vibaya sana..................msuluhishi apaswa kuwa hana upande anaouegemea.....................lakin Raila alikwisha pendekeza Gbagbo aondolewe kwa nguvu za kijeshi.............hivyo yamaanisha hamtambui kama ni Raisi wa halali wa nchi hiyo........

Sijui kama Gbagbo atamkubali...................upo uwezekano mkubwa akamkataa..........
 
Hebu pendekeza basi nani angefaa kuwa msuluhishi.
 
Political sincerity, civility and utmost tolerance will save Africa from tyrany of the incubents no willing to start a new life once vote out of office.
 
Hivi what kind of politics are we trying to build in Africa...? Kumezuka fashion wakati wa uchaguzi wale marais wanaoonekana kushindwa kupindisha uchaguzi halafu wanajiapisha kuwa Rais pamoja na kwamba wameshindwa waazi kabisa halafu wanachokifanya ni kujitia wanaingia kwenye meza ya usuluishi "Power sharing agreements"

Kenya ni mfano mojawapo, ikaenda Zimbabwe na sasa hii mbegu inaonekana kupata mizizi huko Ivory Coast...! Hii ndio democrasia ambayo sasa Africa tuanonekana kuibeba au ni aina mpya ya democrasia ambayo tuanjaribu kuiunda...!

Kupiga kura hakuna maana tena kama maamuzi yatokana yo na kura hayahshimiwi na matokeo yake ni kwamba watu wanakimbilia au wanaendelea kung'ang'ania Ikulu huku wakijitia kukaribisha wapinzani wao kwenye meza za usuluishi ambazo wakati dhahiri inaonekana kama ni kuikejeli Democrasia...!
 
If people are good only because they fear punishment, and hope for reward, then we are a sorry lot indeed. Bagbo, of all the evils, don't fear punishment.
 
Nimezipata habari hizi punde kutoka kwa ITV.......................ya kuwa AU wamemteua Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kuwa msuluhishi wao wa mgogoro wa uchaguzi wa Uraisi wa ivory Coast..............................

Kwa maoni yangu, AU wamechemsha vibaya sana..................msuluhishi apaswa kuwa hana upande anaouegemea.....................lakin Raila alikwisha pendekeza Gbagbo aondolewe kwa nguvu za kijeshi.............hivyo yamaanisha hamtambui kama ni Raisi wa halali wa nchi hiyo........

Sijui kama Gbagbo atamkubali...................upo uwezekano mkubwa akamkataa..........

Mimi sidhani kuwa wamechemsha, Odinga is not there to deal with gabgo with kids gloves, inabidi sasa gabgo adeal na no nonsense person, Odinga is the best i think kwa kuwa yuko tiyari kutuma majeshi kumuondoa huyu nduli, time for discussion is now gone- what is required is action, hata kama ni mabavu.

Odinga is the right person.
 
huyo odinga ndio anafaa maana jumuia nyingi zinamtaka Gbagbo aachie ngazi na Odinga kaonyesha msimamo wake waziwazi kuwa Gbagbo aachie ngazi so Odinga ndio atatoa msimamo mzuri utakao mfanya Gbagbo aachie ngazi
 
Nimezipata habari hizi punde kutoka kwa ITV.......................ya kuwa AU wamemteua Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kuwa msuluhishi wao wa mgogoro wa uchaguzi wa Uraisi wa ivory Coast..............................

Kwa maoni yangu, AU wamechemsha vibaya sana..................msuluhishi apaswa kuwa hana upande anaouegemea.....................lakin Raila alikwisha pendekeza Gbagbo aondolewe kwa nguvu za kijeshi.............hivyo yamaanisha hamtambui kama ni Raisi wa halali wa nchi hiyo........

Sijui kama Gbagbo atamkubali...................upo uwezekano mkubwa akamkataa..........

Raila hajatumwa kusuluhisha bali kumshawishi Gbagbo aondoke. Na ameteuliwa kwa sababu hiyo unayohoji ya kuelemea upande mmoja....au vema zaidi, upande uliotangazwa mshindi wa uchaguzi.
 
Odinga anauwezo walau hata wa kukoroma, sio viongozi wetu wengina wa africa kama Tanzania, wanaona lakini wako kimya tu sijui kila kitu miafrika mpka ifanyiwe na mizungu..aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Uwaziri Mkuu wa Odinga wenyewe ni matokeo ya demokrasia iliyochakachuliwa - the best thing he can put on the table is probably some kind of a power sharing deal. Frankly, I don't think such arrangements can get us anywhere.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom