Au vipi kwenu 'gaza' bado giza?

Iga

Senior Member
Dec 17, 2007
112
6
Kamara kapindua Guinea kelele nyingi tu, hakuna kulala, Myahudi anaangamiza Gaza nyie mnakula na kunywa kama kawaida. What a shame!!

Hapa mngekuja na tamko la pamoja na kusimamisha uhusiano wa nchi zote za Afrika na Uyahudi!!

Bahati kama hiyo haiji mara mbili, ngoja tuele kupata michemsho yenu mipya. Lakini, hili la Guinea kwisha mimi nadhani ni AU ingejitoa Guinea, na sio Guinea kutolewa nje ya AU! Hawaju kutumia milango sahihi, bali wameanza kupitia madirishani vipi nyie!
 
hawa jamaa wanapigana mwaka wa 60 sasa...wapigiwe kelele ili iweje, Darfur waafrika chungu mzima, sijaona hata maandamano na mtu anakemea serikali ya Sudan...ndiyo Gaza itubabaishe leo? waache hao na watu wa focus na thing closer to home. Congo millions wamekufa, hamna makelele...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom