Au jk kapona?

Status
Not open for further replies.

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,857
2,711
Siku za karibuni pengine na za usoni tumeshuhudia jk akiwa mkali kwa watendaji wake. Hapo nyuma hakuwa hivyo. Kuna uwezekano kabisa kuwa yale matatizo yaliyokuwa yakimuandama, Babu kayapatia suluhu hivyo kumfanya rais kuwepo kiutendaji zaidi kuliko kitiba na mapumziko zaidi. Hili lawezekana maana magonjwa wandugu tuyasikie tu. Jk fanya kazi sasa ila tusije kukusifia kwa mbio hadi ukapitiliza kwenu
 
hana lolote! Msanii km kawaida yake! Kuptapta kwnye mawzara na kuongea ongea ndo kuta2punguzia ugum wa maisha? Amezoea kuzrura 2 huyo! Nthng new.
 
Au ndio blaa blaa ya maaandalizi ya safari za ulaya? Maana atatuachia zogo huku nyuma then yeye kwa Obamaaaa kutoa ripoti
 
Siku za karibuni pengine na za usoni tumeshuhudia jk akiwa mkali kwa watendaji wake. Hapo nyuma hakuwa hivyo. Kuna uwezekano kabisa kuwa yale matatizo yaliyokuwa yakimuandama, Babu kayapatia suluhu hivyo kumfanya rais kuwepo kiutendaji zaidi kuliko kitiba na mapumziko zaidi. Hili lawezekana maana magonjwa wandugu tuyasikie tu. Jk fanya kazi sasa ila tusije kukusifia kwa mbio hadi ukapitiliza kwenu

Vipi Dr Padre Slaa akwenda kwa babu kutibiwa ule mkono wake
 
yan we ndo huna akil kbsa!! Kwan babu anatb wa2 waliovunjika?? Anatb kifafa, ukmw, sukar, presha, pumu n.k, ambavyo vyote mkwere anavyo na ndo mana aliwah kikombe! Sa nyingne ucpende kujiondolea akil kwa makusud, kwan km huna za darasan, hta za kuzaliwa pia huna? Pole yako!
Vipi Dr Padre Slaa akwenda kwa babu kutibiwa ule mkono wake
 
Amekuwa mkali??? Amekamata mafisadi? Amewafukuza mawaziri au watendaji wake wazembe? Labda kama sijui maana ya kuwa mkali.
 
download
 
sasa mbona Magufuli wanambana?
Inasemekana Magufuli ni mbabe sana huko serikalin na ana roho ngumu. Wengine wana roho za nyama na huruma kwa wingi kama Pinda (hadi kulia bungeni), Lowasa (kuhurumia wafanya kazi wa umma, n.k.), jk (kumgombeza Magufuli) n.k, n.k...
 
Ngurdoto aliendesha semina, Ubungo plaza katia timu pia kama semina elekezi, sasa wizara mbalimbali, kwani kwenye vikao vya baraza la Mawaziri huwa hawamuelewi au anatafuta huruma kwa wananchi??
 
Nasikia alitinga kwa babu saa kumi alfajiri alipokuwa njiani kwenda kwenye yale manyayo ya kale kule Olduvai....babu akagoma kuamka mpaka kukuche....hivo akakaa kwenye gari masaa matatu mpaka akapata kikombe :lol::lol::lol:
 
yan we ndo huna akil kbsa!! Kwan babu anatb wa2 waliovunjika?? Anatb kifafa, ukmw, sukar, presha, pumu n.k, ambavyo vyote mkwere anavyo na ndo mana aliwah kikombe! Sa nyingne ucpende kujiondolea akil kwa makusud, kwan km huna za darasan, hta za kuzaliwa pia huna? Pole yako!

Vipi kale kagonjwa cha Dr Padre Slaa cha kuiba wake za watu si babu vile vle anakatibu.
 
Kwamba alikwenda saa ngapi haina tija, kwamba siku hizi mkali ni matokeo, lakini kama amepona ni jambo jema na binafsi namshukuru Mungu kwamba wakati viongozi wake wa kidini wanakataza waumini wao kwenda kwa babu, yeye aliamini Mungu wa Babu anaweza yote na akaenda na kuitikia AMEN.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom