Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

duuu lakini hakuna ndoa hapo kama ni mkristu anaruhusiwa kabisa kuoa mke mwingine, HAKUNA NDOA BILA TENDO LA NDOA!
 
Angekua mjanja hayo madai yangefuatana na atalaka. Kama bado hajatoa talaka kisheria atafute mwanasheria mzuri aangalie ni kwa namna gani anaweza kupata fidia alafu awape hao wazushi offer. Wakikataa asisaini makaratasi ya talaka ili huyo dada aendelee kuwa mke wake kisheria ,kumnyima uhuru wa kuruka kimanga na huyo jangili mwenzake.

Hata mie nimeshindwa kushangaa...Kama jamaa keshatoa talaka anatafuta nini tena??

Mie nilidhani kwamba anataka aende mahakami kudai mahakama ikubali kuvunja ndoa na katika hiyo process wamalize dispute yote kwa kujua nani anamlipa nani, na nini kinalipwa.

Ila kama keshatoa talaka...na sijui kwa taratibu gani then aangalie asijekuburuzwa mahakamani kwa kumsumbua mke wa mtu!!
 
labda jamaa kabeba mashine ya kutisha mtoto kuona akaogops,tuulizie kuhusu hilo
 
Yaani kama sinema vile allah, kuna wanawake wanavitimbi jamani khaa, huyo anaweza aisoe kila akifikiria hiyo incident, mh!
 
labda jamaa kabeba mashine ya kutisha mtoto kuona akaogops,tuulizie kuhusu hilo

But it's too late...Jamaa anatakiwa kuanza upya mchakato..Wajanja wamemzidi kete.

Hana chake tena!! Labda achungulie tu picha za harusi!
 
Eti bi harusi kasema mshadede wake una macho.
Makubwa haya.
Khaaaa!
Hata km ni mie kwa sababu hiyo ningetoka nduki wala nisingesubiri ndoa na sherehe,
Asa alijuaje wakati mafundisho ya kanisa hili ni hakuna kuonja mpaka ndoa???!!!
 
Baada ya sherehe walivyoenda chumbani
si bwana harusi akavua akaoge
ndio kuona mimacho ndu
inamtazama

Khaaaa!
Hata km ni mie kwa sababu hiyo ningetoka nduki wala nisingesubiri ndoa na sherehe,
Asa alijuaje wakati mafundisho ya kanisa hili ni hakuna kuonja mpaka ndoa???!!!
 
Nyinyi walokole sio lazima kila kitu mpaka usali, hii inanikumbusha bwana mmoja alioa kwa mchungaji, na kwa jinsi mchungaji alivyokuwa makini kama vile yuko karibu na mungu aliaamini kabisa binti yule alikuw bikira. Sasa baada ya kufunga ndoa huyu ndugu akamwambia mkewe waombe kabla ya tendo la ndoa, na katika kuomba yule bwana akaanza kwa kumshukuru mungu kwa kumpa mke BIKIRA, bila hata kumuuliza kama yule binti ni bikira. Mara baada ya kuomba alipofungua macho binti aligoma kutoa kitu. Kesi ilikuwa kubwa sana mpaka kuhusha wazazi. Uzuri wakati huo simu zilikuwa hajizagaa, vinginevyo siku hiyo hiyo angehamia kwa mtoa ringi. Hivyo walokole vitu vingine twangeni kimya kimya na mshukuru baadaye mkikuta kunamibaraka
 
Baada ya sherehe walivyoenda chumbani
si bwana harusi akavua akaoge
ndio kuona mimacho ndu
inamtazama
Dah! ndio maana mie nilishapanga,
Lzm niiifanyie mazoezi kwanza,km nikiimudu wakati wa riheso basi na wakati wa pafomansi mambo yatenda vizuri!!
Haya mambo ya kuaibishana sio ishu wala nn,bora nikimbie wakati wa riheso lol!!
 
ha ha ha, una akili kama kibaka wa ubungo

Dah! ndio maana mie nilishapanga,
Lzm niiifanyie mazoezi kwanza,km nikiimudu wakati wa riheso basi na wakati wa pafomansi mambo yatenda vizuri!!
Haya mambo ya kuaibishana sio ishu wala nn,bora nikimbie wakati wa riheso lol!!
 
habari zenu wana jf!!

Ni wiki 2 sasa zimepita baada ya kutokea kisa kitaani kwetu kilichokuwa kama movie flani hivi lakini ni cha kweli. Jamaa wa kitaani kwetu aliamua kuoa na kufuata taratibu zote; kuchumbia,kutoa mahari, send off na mwisho harusi iliyofaana sana.

Baada ya harusi mume an mke wakaenda honey moon ili kukamilisha ndoa kwa lile tendo lenyewe lakini bi harusi akagoma sababu alikuwa amechoka sana na mishe za harusi toka asubuhi, bw harusi akawa mwelewa coz anajua mali ni ya kwake siku zote na kuvumilia hadi asbh.

Kumekucha bi. Harusi akaenda kuoga then bw. Harusi akafuatia kwenda bafuni, alipotoka kuoga akamkuta mkewe keshavaa na kupendeza. Akamwambia mumewe kuwa anaenda hapo supermarket kuchukua dawa ya meno ndo hakurudi tena.

Baada ya uchunguzi wa
usalama wa taifa na police wakaenda kumpata tabora na huyo mchumba mpya aliyemtorosha na kumuoa badala ya mume wa ndoa!!! Hivi sasa wamekamatwa na police inasubiliwa bw.harusi aamue nini cha kufanya!!

Ingekuwa wewe ungeamua nini????!!!!! Toa maoni. Ahsanteni mimi nilikuwa best man kwenye send_off nmeombwa ushauri.
hapo kwenye red iyo siyo kazi yao
 
kwa sheria ya ugon. ukimkuta mke wako anfanya mapenzi na mtu mwingine huyu aliyekamatwa naye anabidi akulipe sh. 50 tu pesa halali ya kitanzania kama zawadi ya pole, sijui sasa kwa case ya huyu bi na bw Harusi
 
Hahahahaaa!!! Cantalisia una mambo!!!!

Dah! ndio maana mie nilishapanga,
Lzm niiifanyie mazoezi kwanza,km nikiimudu wakati wa riheso basi na wakati wa pafomansi mambo yatenda vizuri!!
Haya mambo ya kuaibishana sio ishu wala nn,bora nikimbie wakati wa riheso lol!!
 
Back
Top Bottom