ATM za NBC ni kero kwa wateja!

Mimi nimekuwa nikitumia NMB huwa inakera sana siku za mwisho na mwanzo wa mwezi. Kama unaweza kuji-control ukawa huendi tarehe hizo kuna unafuu fulani ukilinganisha na NBC. NBC huwa haina cha mwanzo wala mwisho wa mwezi ni kero siku zote.

mtumeeeeeeee mayo weeee!
mi nimetoka kufungua akaunti juzi tuu, imekula kwangu duuh
icon9.gif
 
Hivi kuna tatizo gani na ATM za NBC

1. Hazifanyagi kazi wk end kbs kuanzia jumamosi utazunguka mji mzima na bado hazifanyi kazi ukienda makao makuu ndio utakuta ATM 1 inafanya kazi na haichelewi kuisha fedha muda wowote.

2. Ukitaka kudeposit ni balaa kabisa wakati muingine ukifika banh hall/branch wanakwambia network hatuna IT wanashugulikia je wakikosa wateja bado watalaumu watu wa sales hawafanyi kazi zao?

3. ATM zao ni za VISA-unaweza mteja kutoka bank ingine anaweza kuwithdraw hela kwa ATM CARD ya bank ingine ila mteja wa NBC hawezi kutumia ATM card yake kwenye ATM machine za mabenki mengine kama CRDB etc.

Je hii ni haki-unahela kwenye a/c lakini huna access nayo hata kama una emergence ya mgonjwa? NBC BANK LTD-BADILIKINI. Slogani yenu inasema the Bank that is conviniently every where....is it true???
u

Hamia kwenye benki iliyo kwenye Mtandao wa UMOJASWITCH huku raha tu
 
Back
Top Bottom