ATM users read this

Jaman anayeweza kutusaidia tunaotumia simu zisizo na uwezo wa kufungua pdf tusome huo ujumbe tutamshukuru sana.
 
Inanihusu ila kanokia kangu kana OS ya kawaida sana kufungua hilo file la pdf ni inshu.
 
Post japo page moja ya content iliyopo kwenye WARNING yako kuhusu ATM lasivyo UMENIACHA SOLEMBA
 
Hii imeshashtukiwa hawaifanyi tena.siku hizi wanakukaba unatoa PW wanakomba akaunti wanatupa card
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom