ATM inarahisisha huduma za kibenki lol!!

hivi unatakiwa uoge na uvae suti ukienda kwenye ATM!, Mbona mie naona poa tu
 
hivi unatakiwa uoge na uvae suti ukienda kwenye ATM!, Mbona mie naona poa tu



Na hicho ndio mtoa mada alichomaanisha maana huyu bwana angeenda benki kwa muonekano huo basi kuna uwezekano walinzi wangemtoa mbio wakidhani mwendawazimu..
 
Tayari ameshachukua na kuweka kwenye hilo gunia. Hiyo bank kiwango chake cha mwisho kuchukua kwnye ATM ni kikubwa sana !!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom