atimaye jose chameleon apata passport yake

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
maandamano aliyofanya jana jose chameleon ubalozi wa tanzania nchini uganda yamemuwezesha kupata passport yake,passport amepata kupitia Air Uganda inayofanya safari zake entebe to dar.
sasa hiv anajiandaa kwenda kufanya shoo south africa,anatarajiwa kusafiri mwezi wa 8,tarehe 3,na baadaye kwenda ulaya na america.
je bila kuandamana unaweza usipate haki yako kwa muda muafaka
 
Shigongo hakuwa na haki ya kushika pasport ya valu valu,alifanya biashara kienyeji sana kwa njia yoyote ile alikuwa arudishe pasport ya jamaa.
 
Mimi sikua na valu valu juu ya hii hili,
Kilaza hawezi pambana na international figure.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mimi nashangaa unawezaje ingia mkenge kumlipa mtu asiye meneja wa jose,si wangeomba namba za jose kwa nini hawana namba za jose wakati mimi mwenyewe tu ninazo,wametapeliwa kijinga,harafu yule mtu aliyetapeli alitumia range nyeupe kama ya jose yenye namba wakati range ya jose ni nyeupe lakin haina namba imeandikwa DOCTOR.
wametapeliwa kijinga sana cha ajabu awajaandika kwenye udaku wao kuwa wametapeliwa
 
kwanini shigongo hakwenda polisi?
yani, he has met his match
 
Cha kuchangaza ni jinsi ambavyo awajaandika flont page kwenye magazeti yao kwamba wametapeliwa,ila wamejifanya kutoa lawama nyingi kwa watanzani eti awaja wa saport, wakati wenyewe wanaandikaga abali bila kujua ukweli na kuwachafua watu KWELI MKUKI KWA NGULUWE KWA BINADAM MCHUNGU!
 
mimi nashangaa unawezaje ingia mkenge kumlipa mtu asiye meneja wa jose,si wangeomba namba za jose kwa nini hawana namba za jose wakati mimi mwenyewe tu ninazo,wametapeliwa kijinga,harafu yule mtu aliyetapeli alitumia range nyeupe kama ya jose yenye namba wakati range ya jose ni nyeupe lakin haina namba imeandikwa DOCTOR.
wametapeliwa kijinga sana cha ajabu awajaandika kwenye udaku wao kuwa wametapeliwa[/QUOTE]

Mimi like yenye rangi.
 
Wakuu hii issue ya chamilion na shigongo sikuipata fresh embu nipeni hiyo habari walao kwa ufupi
 
Mawakili wa Chameleone wanaandaa law suit Shigongo atafilisiwa hela ndefu sana inasemekana anadaiwa kesi wiki hii mahakamani!
 
Back
Top Bottom