Ati wanaume watanashati kupindukia ni wazinzi?

lazima utumie muda mwingi ktk kioo, bafuni saluni, shoe shiner, nk kwa hiyo utafutaji wao wa pesa unakuwa sio kivileee.. so wengi hawana hela, ili kumaintain status wanakuwa wasanii, matapeli, waongo; kuazima nguo viatu magari nk. sababu hanahela inambidi amaintain usafi/tanashati ili aweze kupata mademu. halafu hawezi kuwatunza mabinti/wanawake(hana hela) inambidi kubadilisha mara kwa mara wanawake hapo ataitwa malaya.
 
kweli tupu
 
Kumbe wewe ulisoma kipindi chetu? Wapo kweli waliochoka. Unakumbuka 'yaniue'? (Yaani mtu unakula beans ('yaniue') mpaka basi ili usevu? Abortion valley unaikumbuka?

Haaa haaa! Mkuu unakula maharage washkaji wakikubana kulikoni unawaambia eti una Allergy na nyama na hupendi maharage ila huna choice. Kumbe umetumia Boom kununua Maredio Makubwa enzi hizo ya Hitach au Sony etc na zile Suruali za Kung'aa na Mocasin. We acha tu!

Abortion Valley usiseme Mkuu. Dhambi tupu.

Unamkumbuka HAILALI? Mpaka Punchi alimtumia Mzazi wake Cheti kilichosainiwa na VC kuhitimu Ngono?

Ukiona Benzi au Shangingi kwa saana wanajificha na kututangazia kuwa alikuwa Dingi anapita na kuwa ni Noma angekuona . . . .

Ama tunatoka mbaaaali kweli.
 
Dume linamechisha viatu, shati, suruali, simu, keyholder n.k. Perfume za bei mbaya, handkerchief zaidi ya moja kwa siku, kufuga kucha za vidole, kuondoa mvi kichwani, saluni kila siku ili kumaintain O, n.k
Yaani mtoto wa watu kbsaaa simtaki ng'o
 
Haaa haaa! Mkuu unakula maharage washkaji wakikubana kulikoni unawaambia eti una Allergy na nyama na hupendi maharage ila huna choice. Kumbe umetumia Boom kununua Maredio Makubwa enzi hizo ya Hitach au Sony etc na zile Suruali za Kung'aa na Mocasin. We acha tu!

Abortion Valley usiseme Mkuu. Dhambi tupu.

Unamkumbuka HAILALI? Mpaka Punchi alimtumia Mzazi wake Cheti kilichosainiwa na VC kuhitimu Ngono?

Ukiona Benzi au Shangingi kwa saana wanajificha na kututangazia kuwa alikuwa Dingi anapita na kuwa ni Noma angekuona . . . .

Ama tunatoka mbaaaali kweli.

Kaka umenikumbusha mbali. HAILALIII....
 
Uzinzi si sana kwani wengi hua 50 50 halafu ni wabinafsi, wachoyo, huoa katika umri mkubwa sana, huwa si outgoing wanapenda kua home home, hawawezi kuishi na mtu, hata akioa mke hainjoy kwani jamaa hashauriki na anamisimamo yake isobadilishwa na mtu, si wakarim sana wako serious masaa yote. Wengi wao wamesomaaa wakorofii wa bahilii yani wanaume watanashati wengi lazima wawe na tabia zinazofanana na hizi.

MMMH Mamushka hapa kwakweli analisisi yako inanipa mashaka................mtu awe sio out-going,awe wa home home,yuko serious masaa yote.....sasa kwa tabia zote hizi anawavutiaje hao manawake wa kuzini nae
 
Back
Top Bottom