Ati Wachagga hawajui mapenzi?

Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama unasubiri Sakramenti ya Ubarikio sio issue,huu ni uvivu uliotukuka...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana kupiga ramli its how you make it live wewe mwenyewe,Manage ur bed,vingine ni Secondary tu,nawaambia kweli,..Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole,Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi...Bed is everything.
Mimi nashangaa Imejipost Yenyewe kutoka Kishumundu

Kueleza Hisia ni vizuri lakini hapo ulipo changanya na mambo ya Sakramenti ya Ubarikio umekosea.Uwezi kuchanganya vitakatifu na uchafu.Naomba uondoe hilo neno Sakramenti ya Ubarikio kwenye posti yako.
 
Preta walipumzika kidogo naona wamerudi tena
Sijui dada zetu wamewakosea nini aise
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi uwezo wako wa kudinyana ni mdogo sana ndio maana umeelekeza lawama zote kwa wanawake...
Nadhani wewe ni kati ya wale wanaume ambao hukimbilia kusokomeza madudu yao bila maandalizi yoyote...
Hivi ushawahi jiuliza kwa niin mswaki pamoja na ugumu wake wote ule lakini ukiingia kinywani huwa hauachi vidonda?
Sasa si zaidi kwa vidinyio vyetu wanaume ambavyo ni laini na mahususi kwa ajili ya kuondoa kila aina ya muwacho kwenye vifanyio vya kike...
Hebu jifunze "The Art of Love Making - Step by Step", halafu ndio uelekeze lawama zako kwa wanawake...

Tabia za kulala tuu chanuuuu kama unasubiri Sakramenti ya Ubarikio sio issue,huu ni uvivu uliotukuka..
 
Wadada punguzeni uvivu kitandani...Mapenzi yamekuwa ya ushindani sana kama Simba na Yanga...Ukipoteza mechi mpinzani atakaa kileleni kuongoza Ligi.
Tabia za kulala tuu chanuuuu kama unasubiri Sakramenti ya Ubarikio sio issue,huu ni uvivu uliotukuka...Jitume kutetea uhalali wako wa kuwa Mpenzi wa huyo mtu...Mapenzi hayana kupiga ramli its how you make it live wewe mwenyewe,Manage ur bed,vingine ni Secondary tu,nawaambia kweli,..Mnaoamini Mapenzi hayalindwi na Sex nawapa pole,Mta-Supp mtihani kabla hamjaanza testi...Bed is everything.
Mimi nashangaa Imejipost Yenyewe kutoka Kishumundu
kaka mbona bado asubuhi sana unalalamikia uumbaji yamekukuta nini?
kama mtu hawezi mfundishe bana na inawezekana na wewe huwenda hujui na mara nyingi unakutana na wanao jua matokeo yake unashindwa kuwa mjanja.
 
hali yangu ni nzuri kunako 6*6
watu bana eti viuno vigum kama trekta vikoje hivi

Hahaha huo uzuri kitandani nadhani mwenye kuleta ushahidi anapaswa awe shemeji yetu na wala sio wewe...

Viuno vigumu kama gia ya trekta ni vile vigumu ambavyo haviwezi kuzunguruka...
 
Hahaha huo uzuri kitandani nadhani mwenye kuleta ushahidi anapaswa awe shemeji yetu na wala sio wewe...

Viuno vigumu kama gia ya trekta ni vile vigumu ambavyo haviwezi kuzunguruka...

hahaaa sometimes inabidi kujisifia mwenyewe ukisubiri kusifiwa inaweza kula kwako......
kiuno kama cha nyigu ndo type yangu!!!!!
 
nyie watu8 na Mundende.......ni hivi......
sisi huwa hatupendi sana mambo ya theory.......(yu no wora am seing Dr)......praktikale ndio mpango mzima......
na gusa unate......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom