Ati Wachagga hawajui mapenzi?

sasa mamia hii siyo fare mbona wachaga tu na baadae wahaya na sisi wajaluo na wakuria je?...kwa nini usitujaribu sisi wajaluo kabla ya kumtafuta mhaya na amini utakuwa umemaliza matatizo yako yote...na hopefully utafunga na thread kabisa.

He he he eee, Mikulya ndo SUFURI kabisa. tena linasema "naomba nikuingie' huku macho mkavuuu!! Halafu akiingia analala usingizi haaapo hapooo :confused:

Mama mia kama unataka kujaribu we nenda, usije ukaruka mkojo ukanyage m_vi.
 
He he he eee, Mikulya ndo SUFURI kabisa. tena linasema "naomba nikuingie' huku macho mkavuuu!! Halafu akiingia analala usingizi haaapo hapooo :confused:
...

...khaaaaaaaaa! :D watani zako nini?! wasije 'wakakuaresti'
 
Zamani nakiri ni kweli wachagga walikuwa wanasoma Magazeti... Lkn cku hizi wamekuwa MAKUNGWI kwenye suala zima la Malavidavi...
 
Kyachakiche unachekesha hakuna shule inayofundisha mapenzi ila watu wakienda shule wanaelimika zamani kulikuwa hakuna kichen party siku hizi zipo na watu wanajifunza kupitia huko. Na sio vitu vyote watu wanajifunza darasani upo hapo?
 
Go ahead dear! Nilikaa na mchaga kwa kweli nina kumbukumbu mbaya nao ni kama nilikuwa nabakwa tu. But now with Mhaya .......... wooow! Watake wasitake ukweli ndo huo!

Mhhh! pole sana dada.....lakini sasa inaelekea unakula maraha ya hali ya juu ;) Hongera...It takes two to tangle :)
 
Sasa hizi stredi nyingine bana.
Hivi mapenzi ni nn? Kudinginyanya, kununuliana maua na na kuambiana I lov yuu kila saa, kutunza mke na familia, kumjali mwnza wako! Au?
Sasa wunaongelea nn? What does it take to be called a great sex? And what does it take to be called a geat love?
 
Mapenzi na shule wapi na wapi! Shule gani zinafundisha mapenzi?

Point.
Kwani shule ndo inafanya uweze kupenda sana au kushughulikia hiyo makity kwa wingi na ujuzi?
Kuna sex engineering? Au wahaya wanafundishwa huko kwao kunanihii kwa bidii coz huo ndo urithi wao?
 
Hawajui ndiyo!!!!!!! wewe unayejiita mama mia unayajua mapenzi? wewe mwenyewe uajionyesha ni jinsi gan hujui sasa unatafuta msaada kistaili kwanza huna jipya kl siku hoja zako zina utata.we lea wanao home waachie wenye fani zao wapete mzee
 
We Mama mia acha masihara!mimi mwenyewe nilikuwa nasikia hizo habari,ila nilipokuja kupata mpenzi wa kichaga hiyo dhana nimeifuta kabisa,watu wanapata mambomakali mpaka wanapiga vigelegele.jamani hiyo dhana haina ukweli.

Hivi vigelegele unapigia wapi? Heheheee, mzee wa Chumvi huyu!!!! Eleleleeleeelee.......
 
Hivi vigelegele unapigia wapi? Heheheee, mzee wa Chumvi huyu!!!! Eleleleeleeelee.......

Hahahahahahahahaha Vigelegele vinapigwa wakati wa shughuli....LOL! Kama njemba inakuwa iko chumvini au juu na nanihii kazi kwako Mkuu! :)
 
naomba jibu
Mama Mia, kwanza hili jukwaa mimi huwa sipiti, umri ulishapanda sana, ila haya nikuambiayo ni ya ukweli kabisa natanguliza samahani kwa ndugu zangu wachagga.
1. Kwanza sio kweli kuwa Wachagga hawajui mapenzi, hayo wanayoyajua ndio huo ujuzi wao wa kichagga.
2. Kujua mapenzi ni kitu kimoja hii ni to love and be loved, ufundi wa kufanya mapenzi ni kitu kingine, making love technics, na kuwa na ladha ya mapenzi, kukolea au utamu ni kitu kingine kabisa hakina uhusiani na kupenda, wala kufanya.
3. Baada ya Ukristo kuingia Moshi, Wachagga waliabandon mila zao zote za kiasili na kuukumbatia Ukiristo, making love ni mpaka ukiolewa.
4. Kwa wanawake wa Kichagga, walifundishwa sex ni dhambi, na hawakupata mafunzo yoyote ya love making, hivyo wanawake wa Kichagga, hawanakujua love making technics zozote, ukijumlisha na ile dhana ya tendo hilo ni dhambi, wanapata tatizo liitwalo 'inhibition' hivyo they don't enjoy sex na hardily wanafika.
5. Kufuatia hizi inhibitions, kumsomesha binti wa Kichagga ambae yuko kabla bado, mpaka somo lieleweke ni issue, hivyo vijana wa Kichagga, hufanya timing kwa kushika vibinti kwa nguvu, na kumalisha shughuli migombani, ama mikahawani.
6. Wanaume wa Kichagga nao, wanakuwa bussy sana kutafuta maendeleo hivyo wanasoma kwa usongo sana na kutafuta pesa kwa nguvu, matokeo yake, wanakuwa bussy sana na strughle za maisha hivyo love kwa haina nafasi sana.
7. Kotokana na kula ndizi, Wachagga, Wahaya na Wanyakyusa, wanakuwa na miili milaini, flabby, wenzao Wahaya, huwa wanazichezea na kuvutwa vutwa zile sehemu tangu wadogo, hivyo zinachangamka, Wachagga na Wanyakyusa wao hawavutwi hivyo sometimes zinadorora, si unajua mambo ya practice makes perfect.
8. Tukija kwenye technics, kwa vile hawafundishwi chochote, hivyo wakifika room ni kulala kama gogo/mgomba, lakini hawa wa generation now, wanajifunzia mashuleni, makundi na mamovies, hivyo ni wamama wa huko ndio wanaaongoza kusaka ving'ast siku hizi.
9. Mambo ya ladha ni mambo ya body physiological make up kama matunda mengine matamu, mengine yanavutia kutazama lakini hakuna ladha, na megine ni mabovu kama tatizo la frigidity.
10. Yote ni tisa, ufundi, utamu, ladha, mitindo etc, mwisho wa yote, its an atitude of mind, mambo yote ni mtazamo ndani ya fikra zako, ukidhamiria kulamba asali, ukilamba utaona ni asali, ila ukiifikiria pilipili, au shubiri, unaweza lamba asali na kuishia kuitema bure. Hivyo ubingwa au sio ubingwa, kupendwa au sio kupendwa, kukolea au sio kukolea yote ni ndani ta mtazamo tuu ndio maana, "ganda la mua la jana, chungu kaona kivuno!."
 
mi naona msiseme saaaaaaaaaaaana coz mi mwenyewe ni mchaga km unataka kujua km tunajua mapenzi au hatujui nitafuteeeeeeeeeeeee
 
Mapenzi dunia ya leo ni kujifunza ku compromise yaani uwezi pata kla kitu papo hapo.

Wenzetu wapo mbele ktk fikra hizi labda ndio maana? atuelewi.
 
nadhani mapenzi ni makubaliano ya watu wawili,kuna mwingine anapenda manjonjo mwingine hapendi,mwingine anapenda vilio mwingine hapendi,so unaweza sema wachaga hawajui coz tuliskia wanasema"ukimarisa funika"but for me nikiwa na mpenzi ntafanya vile nafsi yangu inanituma kufanya,kama ni kelele ntapiga mpaka majirani waskie kama ni sarakasi ntaruka mpaka nitoboe celing boad,its pat of refleshment na kutoa stress.so I will enjoy to the fullest,na kama anaona sijui au hataki nifanye hivyo navyofanya beta aniambie anataka nifanye vipi ikiwezekana anifundishe ngoma za kwao.
 
nadhani mapenzi ni makubaliano ya watu wawili,kuna mwingine anapenda manjonjo mwingine hapendi,mwingine anapenda vilio mwingine hapendi,so unaweza sema wachaga hawajui coz tuliskia wanasema"ukimarisa funika"but for me nikiwa na mpenzi ntafanya vile nafsi yangu inanituma kufanya,kama ni kelele ntapiga mpaka majirani waskie kama ni sarakasi ntaruka mpaka nitoboe celing boad,its pat of refleshment na kutoa stress.so I will enjoy to the fullest,na kama anaona sijui au hataki nifanye hivyo navyofanya beta aniambie anataka nifanye vipi ikiwezekana anifundishe ngoma za kwao.


yani point wife ila makelele yakizidi watapiga chabo sana akuna kabila lisilojua mapaenzi kwani mapenzi si yakabila fulani bali ni ya mtu binafsi na ampendaye na mkifika uwanjani akuna kutegeana ni full mzuka
 
Back
Top Bottom