Athari za virusi vya kompyuta kwenye huduma za internet kwa kupitia mitandao ya simu

Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,965
2,141
Mi ni mtumiaji wa huduma ya interneti kwa kutumia mitandao kama celtel na voda. nime observe madhara ya virusi vinavyopatikana kwenye windows jinsi gani vinaweza vikakuathiri katika kukumalizia pesa yako unapoconnect simu yako na kompyuta. Celtel na voda naona huwa wanakata hela acording the bytes ulizotuma na kupokea. sasa mara nyingi ukiconnect tu kwenye mtandao unaanza kuona bytes zinaliwa wakati hujaanza kufanya activity yoyote. Nimekuja kuhisi kwamba kuna kuwa na operation ambazo zinaendelea underground bila ya user kuelewa.zinaestablish internet connections bila ya wewe kufahamu kwa hiyo unakatwa tu hela unapokuwa umeconnect na service proivider. hichi kitu nahisi kinasababishwa na virusi. yesterday nikatumia kompyuta ambayo ipo clean kwa maana haina virusi. sikuona bytes zikiliwa pale ambapo nilikuwa situmii mtandao. Sasa hivi windows inakuwa attacked na virus vibaya mno. sasa sijui kama kuna software ambazo unaweza uka zikonfigure ili connection establishment yoyote iwe inakuwa authenticated na mtumiaji wa kompyuta? makampuni ya simu nawashauri pia muangalie kwenye ili suala. ababu mtakosa wateja wa internet ambao watakuwa wanacomplain kwamba service zenu ni expensive kumbe pia na virusi vinachangia. Mnaweza mkatoa elimu kwa wateja wenu.
 
Unaweza pia kufanya yafuatayo:
1. Turn off Automatic Windows Updates kwenye computer yako
2. Change Anti-virus update settings from Automatic to Manual.

Kuna kingine nimesahau?



.
 
Unaweza pia kufanya yafuatayo:
1. Turn off Automatic Windows Updates kwenye computer yako
2. Change Anti-virus update settings from Automatic to Manual.

Kuna kingine nimesahau?



.

hiyo ni sahihi lakini tatizo la virusi pia ni kubwa. ingekuwa kuna software ya kumuwezesha user kuathenticate every TCP/IP connection inayokuwa established au UDP packets then hizo automatic updates zingekuwa handled automatically bila ya turn on/off. Denial of service attacks zimekuwa nyingi nazo pia zinaweza kuchangia bandwidth kuwa consumed. We are assuming that connection zote zinakuwa initiated na client.
 
Back
Top Bottom