Athari za tamthilia za kigeni (kizungu) kwa mahusiano ya vijana tanzania

On a positive perspective:
Tamthiliya hizi zinakufungua macho na kukufundisha kuepuka maamuzi ya haraka haraka hasa mambo ya kudhani katika mahusiano.
tahadhari muhimu sana, you will never know who will stab you in the back hasa wale watu wa karibu nawe.

Imesaidia watu kujua kizungu kila sehemu hasa kamu dauni ( CALM DOWN)
Inatamkwa kila baada ya dakika.
 
Hahaha, Moony umenchekesha! Kidhungu siku hizi hasa mahausigeli wanashuka ile mbaya!
Ila mara nyingi nikiangalia movies huwa natamka 'happens only in movies', zile za anaingia kwenye room ina watu 10 wenye silaha na wote wanamngojea awa-shoot yeye kwanza! Dah!
 
Last edited by a moderator:
King'asti na Moony acheni kunisimanga na kizungu changu cha tamthilia

kamu duni
idiati
lavu ovu mai laifu

yote nimejifunzia huko na mengine mengi tu.
 
Last edited by a moderator:
zinaharibu vijana, kuna mwingine humu kadai yeye ni jasusi wakazi Juzi kati alikuwa anatafuta mchumba alisema yeye mwanafunzi ana miaka 23
 
Bora ukute na wewe unaziangalia utajua jinsi ya kutatua matatizo,usiombe zianze love drama daaah! Unaweza ufe
 
King'asti na Moony acheni kunisimanga na kizungu changu cha tamthilia

kamu duni
idiati
lavu ovu mai laifu

yote nimejifunzia huko na mengine mengi tu.

Hahaha, hukawii kuagiza hausigeli apike samaki akakuambia 'why?'
au unamuita anaitika 'yes.....'
kidhungu cha tamthilia kiboko, manake anakusimulia yoote na dialogue utasema anajua. Nakumbukia nilivyokuwaga naelewa movie za kihindi, siku hizi sijui uzee?
 
Mimi binafsi nahisi hizi tamthilia zimewafanya vijana watamani kuwa na wapenzi haraka wakiamini mapenzi yana raha zote wanazoziona kwenye tamthilia, wanajikuta wanakurupuka na kuingia kwenye mahusiano yasio na kicchwa wala miguu mwisho wake ni kutendwa na kuumizwa tuu.
 
He he he he
Kuna zile movie za kihindi zinatafsiriwa na Bishanga mmoja
Jamani, zinaniudhi, basi huku kwetu Tandika utatukomaje, zimejaa kama nini.

Hahaha, hukawii kuagiza hausigeli apike samaki akakuambia 'why?'
au unamuita anaitika 'yes.....'
kidhungu cha tamthilia kiboko, manake anakusimulia yoote na dialogue utasema anajua. Nakumbukia nilivyokuwaga naelewa movie za kihindi, siku hizi sijui uzee?
 
Last edited by a moderator:
King'asti na Moony acheni kunisimanga na kizungu changu cha tamthilia

kamu duni
idiati
lavu ovu mai laifu

yote nimejifunzia huko na mengine mengi tu.

Oh Kongosho au una hamu ya kujibizana nami? pole ndg yangu wala sikumbuki kukuambia ati
kidhungu chako cha tamthilia kina walakini, hasha ndugu yangu.
Naona tu labda hukunielewa.
King'asti kanielewa. Yani hata vijijini hata kama mtu hajui kusoma lakini anaongea kizungu thanks to tamthiliya.
Nilitoa mfano wa kamu dauni kama sentensi au neno lisemwalo sana sana katika kila tamthiliya.
lakini usijali, kidhungu chako ni BOMBA tu ila tu username yako ndo inaniacha hoi.
 
Back
Top Bottom