Athari za kufanya mapenzi na watu usiowafahamu vizuri..........

Nachoona kwa sasa wanawake wamechoshwa na tabia za wame zao za kucheat. Badala ya kukaa ndani na kujiliza wameamua nao watafute vipoozeo. Ukirudi nyumbani unakuta mkeo full tabasamu kumbe unajifanya mjanja yeye mjanja zaidi yako.

Solution. Wanaume mtulie maana inaelekea wanawake wanajibu mapigo. Kama ugonjwa wameamua muutafute wote.
 
Tena wanaume wengi tu waso na idadi wamefia gesti wakiwa kwenye mishughuliko. Ila nchi hii ya mfumo dume hao wanawake watatu imekuwa nongwa.

Hilo nalo neno .... mi wameniumiza sana wako kulalama about the ladies, sioni kabisa maoni yanayolenga kua ni kwa nini wanafikiri huyo Psychopath anafanya hivyo, walau tupate a mans perspective!
 
Nachoona kwa sasa wanawake wamechoshwa na tabia za wame zao za kucheat. Badala ya kukaa ndani na kujiliza wameamua nao watafute vipoozeo. Ukirudi nyumbani unakuta mkeo full tabasamu kumbe unajifanya mjanja yeye mjanja zaidi yako.

Solution. Wanaume mtulie maana inaelekea wanawake wanajibu mapigo. Kama ugonjwa wameamua muutafute wote.

NK hapa nafikiri inabidi niende tofauti nawewe kidogo. wanawake wanaofanya hivyo sababu ziko nyingi, lakini yule anefanya kwa ajili ya kujibu mapigo anakua amepotea....
 
Hakuna cha ingawa hapo. Ni ukweli mtupu. Mwanamke umeolewa. Kisa cha kwenda kukazwa na mwanamme mwingine nini ihali bado uko kwenye ndoa?

Sielewi kwa nini watu wanaoana halafu wanaishia kutoka nje ya ndoa zao bila ridhaa za waume au wake zao. Ni bora ungebaki singo tu ufanye utakavyo.

tatizo watu wanaenda wakibadilika,mtu uliyeolewa nae miaka nane iliyopita ni tofauti kabisaa na huyu unayeishi naye sasa...........ulimpenda A,B,C,D zake sasa hivi yuko XYZ,labda sasa hivi hakujali wewe na wanao,ni mlevi kupindukia.....mtu unashawishika kwenda nje kutafuta mtu mwingine mwenye a,b,c,d unazozitaka...wanandoa wote wanapaswa kujua nini kilichowaunganisha in the first place, ili waendelee kukimaintain/kukeep for the sake of their marriage!
......huko nje tunakoenda kutafuta kinachokosekana ndani ya ndoa zetu ndiko kunakopelekea mauti kama sio kukutana na huyo serial killer ,then utakumbana na HIV ikuue taratibu...mungu atusaidie....:amen:
 
Hata mimi sitetei uzinzi kabisa. Ila nachoshangaa kwa nini wanaume wakitembea nje ya ndoa inakuwa poa. Unakuta mtu ana kimada na wala hawafichi ndugu na marafiki zake. Mwanamke akiwa na kibajaji hata cha kusingiziwa mziki wake unakuwa mkubwa. Why?
Yessss!! Nilikuwa napita lkn nimesimama na naunga hoja mkono. KWANINI INAKUWAGA HIVYO? Akisikika tuu ya kwmb ana "KIBEBERU" mahala yani inakula kwake flu utadhani si mwny haki. Hayo yamemkuta Best wangu jina mfukoni.
 
Hilo nalo neno .... mi wameniumiza sana wako kulalama about the ladies, sioni kabisa maoni yanayolenga kua ni kwa nini wanafikiri huyo Psychopath anafanya hivyo, walau tupate a mans perspective!

May be it is a case of sadistic going too far
 
Mimi nina rafiki yangu ana mvuto wa kipekee. Yaani kaolewa 10 years a go na ana two kids ila ukimcheki ana mvuto kuliko binti wa fomr six. Mume wa rafiki yangu ni malaya wa kutupwa. Yule dada ofisini wanaume wote wanamtolea mimacho. Sasa nambie hawezi siku moja kuingiwa na roho ya kisasi? Mme wake ni mshenzi kweli yaani anabadili wanawake kama hana akili nzuri. mdada kila siku anakuja ofisini full depression.

NK hapa nafikiri inabidi niende tofauti nawewe kidogo. wanawake wanaofanya hivyo sababu ziko nyingi, lakini yule anefanya kwa ajili ya kujibu mapigo anakua amepotea....
 
Nachoona kwa sasa wanawake wamechoshwa na tabia za wame zao za kucheat. Badala ya kukaa ndani na kujiliza wameamua nao watafute vipoozeo. Ukirudi nyumbani unakuta mkeo full tabasamu kumbe unajifanya mjanja yeye mjanja zaidi yako.

Solution. Wanaume mtulie maana inaelekea wanawake wanajibu mapigo. Kama ugonjwa wameamua muutafute wote.

Akili mu kichwa sasa...mbona hii imekaa kama msaada kwenye tuta?
 
Mimi nataka wanaume nao watie akili na wapate somo kuwa hata wanawake WANAWEZA. Wasijipe moyo kuwa nasi hatuna wanaotutamani. Wanawake wa kisasa si sawa na wazamani. Wanataka usawa wa kila angle. Ukitaka nitulie na wewe tulia.
 
Mimi nina rafiki yangu ana mvuto wa kipekee. Yaani kaolewa 10 years a go na ana two kids ila ukimcheki ana mvuto kuliko binti wa fomr six. Mume wa rafiki yangu ni malaya wa kutupwa. Yule dada ofisini wanaume wote wanamtolea mimacho. Sasa nambie hawezi siku moja kuingiwa na roho ya kisasi? Mme wake ni mshenzi kweli yaani anabadili wanawake kama hana akili nzuri. mdada kila siku anakuja ofisini full depression.

NK sometimes it is us ladies tunaosababisha waume watu treat vibaya. Ile tu unaishi na mume malaya wa kupindukia na kila mtu anajua hilo ni kujidhalilisha in someways na inaonesha una low self esteem. Na cha ajabu wanaume malaya wana wivu sana juu ya wake, watoto na dada zao - huyo dada ilibidi atingishe kiberiti na kama ni mzuri na mvuto (mana mhimu sana ku maintain ur appearance).

Am telling you kuna njia za kumuweka sawa mume wake kwa vitendo tu, kaishi nae siku zote hizi hivyo yeye huyo dada anajua kama anapendwa au lah (umalaya wa mwanaume haimaanishi hapendi the wife), anajua weakness za mumewe, anajua extent ya umuhimu wake kwa mumuwe.... atumie hivyo vigezo kumbadilisha. Sina maana kua ni rahisi, but possibility ya kumbadilisha ipo!
 
Mimi nataka wanaume nao watie akili na wapate somo kuwa hata wanawake WANAWEZA. Wasijipe moyo kuwa nasi hatuna wanaotutamani. Wanawake wa kisasa si sawa na wazamani. Wanataka usawa wa kila angle. Ukitaka nitulie na wewe tulia.

Mimi sidhani kama wanaume wengi wako na hiyo illusion. Wenye nayo basi ni wajinga wa mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nisamehe kwa nitakachosema; huyo jamaa acha awafundishe adabu hao mashetani wanaoenda kuaibiisha waume zao. hivi wewe una ndoa na mume wako mzuri, unaendaje kulala na wanaume wengine? I think huyo jamaa wamwache afanye kazi yake. Apatiikane na mwanamke ili awatie adabu waume za watu.

Mwenyezi Mungu tunusuru.
 
Usemacho Asha D ni kama ulikuwepo vile. Mdada ana very good salary ya kumwezesha kujitegemea ila ana low self-esteem. Sasa ndivyo alivyo utamsaidiaje? Na mumewe ana wivu mbaya na nadhani hilo linamfanya mdada ajifariji kuwa anapendwa kuliko hao wa nje. Yaani mara kwa mara jamaa anakuja ofisini ghafla ghafla kumcheki wife!

NK sometimes it is us ladies tunaosababisha waume watu treat vibaya. Ile tu unaishi na mume malaya wa kupindukia na kila mtu anajua hilo ni kujidhalilisha in someways na inaonesha una low self esteem. Na cha ajabu wanaume malaya wana wivu sana juu ya wake, watoto na dada zao - huyo dada ilibidi atingishe kiberiti na kama ni mzuri na mvuto (mana mhimu sana ku maintain ur appearance).

Am telling you kuna njia za kumuweka sawa mume wake kwa vitendo tu, kaishi nae siku zote hizi hivyo yeye huyo dada anajua kama anapendwa au lah (umalaya wa mwanaume haimaanishi hapendi the wife), anajua weakness za mumewe, anajua extent ya umuhimu wake kwa mumuwe.... atumie hivyo vigezo kumbadilisha. Sina maana kua ni rahisi, but possibility ya kumbadilisha ipo!
 
Kufuli moja inayofunguliwa na kila funguo hujulikana kuwa ni mbovu ila funguo moja yenye uwezo wa kufungua kila kufuli inaitwa master key.
 
Unajua nini. Tumeshakuwa brainwashed na kuona only men have right to do whatever they want to. Na kubadili huu mtazamo will take another century. Mwanamke anatakiwa kulinda heshima ya mumewe. Mwanaume hana cha kulinda kwa kuwa mwanamke hana heshima yoyote ya kulindiwa!

Nisamehe kwa nitakachosema; huyo jamaa acha awafundishe adabu hao mashetani wanaoenda kuaibiisha waume zao. hivi wewe una ndoa na mume wako mzuri, unaendaje kulala na wanaume wengine? I think huyo jamaa wamwache afanye kazi yake. Apatiikane na mwanamke ili awatie adabu waume za watu.

Mwenyezi Mungu tunusuru.
 
Usemacho Asha D ni kama ulikuwepo vile. Mdada ana very good salary ya kumwezesha kujitegemea ila ana low self-esteem. Sasa ndivyo alivyo utamsaidiaje? Na mumewe ana wivu mbaya na nadhani hilo linamfanya mdada ajifariji kuwa anapendwa kuliko hao wa nje. Yaani mara kwa mara jamaa anakuja ofisini ghafla ghafla kumcheki wife!

Umeona kua sijakosea njia eeh.... huyo dada itabidi nijipendekeze urafiki nimsaidie kumpandisha hiyo self esteem ili tumrekebishe huyo mwanaume, kumuacha hatumuachi lakini umalaya tunaupunguza...
 
Nisamehe kwa nitakachosema; huyo jamaa acha awafundishe adabu hao mashetani wanaoenda kuaibiisha waume zao. hivi wewe una ndoa na mume wako mzuri, unaendaje kulala na wanaume wengine? I think huyo jamaa wamwache afanye kazi yake. Apatiikane na mwanamke ili awatie adabu waume za watu.

Mwenyezi Mungu tunusuru.

Hivi Caroline samahani kama nitakukwaza, ila nataka sana nijue kua wewe kweli mdada na kweli umeolewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom