Athari ya siku ya wajinga na uchaguzi wa arumeru mashariki

Status
Not open for further replies.

Baba C

Senior Member
Mar 15, 2012
125
55
Leo tarehe 1/4/2012 ni siku ya wajinga duniani. Inabidi kuchukua tahadhari kubwa sana wakati wa zoezi la kupiga kura kwani kwenye uchanguzi mdogo wa Igunga inaaminika mojawapo ya propaganda iliyotumika na MAGAMBA baada ya kuona maji yamefika shingoni ni kupita na magari na kuwatangazia watu waliokuwa wanaendelea kupiga kura kwamba mgombea wa CDM ametangaza kujitoa kwenye kinyanganyiro hivyo waipigie kura MAGAMBA.TUJIHADHARI NA PROPAGANDA ZA NAMNA HII HASA KATIKA SIKU HII YA LEO YA UPIGAJI KURA NA UTANGAZAJI MATOKEO ARUMERU MASHARIKI.
 
Muda wa wajinga umeshapita' saa hzi ni muda wa great thinkers,muda wa akina lusinde na nchemba unaishia saa nne asubuh
 
Muda wa wajinga umeshapita' saa hzi ni muda wa great thinkers,muda wa akina lusinde,nape, nchemba na wale aliosema mkapa siku ýa uzinduzi wa kampeni arumeru mash, unaishia saa nne asubuh
 
Muda wao ushapita( wa wajinga) now tujikite zaidi ktk updates huko Arumeru!
 
Muda wa wajinga umeshapita' saa hzi ni muda wa great thinkers,muda wa akina lusinde,nape, nchemba na wale aliosema mkapa siku ýa uzinduzi wa kampeni arumeru mash, unaishia saa nne asubuh

Swadaktah!!!!
 
Muda wa wajinga umeshapita' saa hzi ni muda wa great thinkers,muda wa akina lusinde,nape, nchemba na wale aliosema mkapa siku ýa uzinduzi wa kampeni arumeru mash, unaishia saa nne asubuh

mkuu hivi wangapi wanajua kama mwisho sa 4?by the way watu wanaita "siku" ya wajinga sio "masaa" ya wajinga!cha muhimu demokrasia isiharibiwe na uwepo wa siku hii ya wajinga ambayo waliyoitunga ndio wajinga zaidi
 
huku watu wanahiyo habari ya cku ya wajinga ogopa hadi bibi mzee anataka huyu mtu wa chama cha vidole viwili:peace::peace::peace:
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom