Atembea na mkewe bila kujua

Mkuu hii hata kama ni novel (plot yake hailipi kabisa) yaani huwezi kuuza manuscript..

Haiwezekani hata kama ni arrange marriage za wapi upewe wife bila hata kuona picha yake.., yaani its impossible kabisa
 
apo nampiga chini, kama alikuwa mrahisi kukubali kwangu hata airport tu hivyo, atakuwa rahisi kukubali kwa watu wengine nikienda safari za kikazi. mwanamke mrahisi hivyo simtaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom