Atembea na mkewe bila kujua

HP1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
3,362
874
Jamaa mmoja alikuwa Uarabuni kikazi. Alipokuwa anakaribia kumaliza mkataba wa kazi, huku kwao wakamfanyia utaratibu wa kumpata mwenza. Ndoa ikafanyika akiwakilishwa na mtu mwingine.

Siku iliwadia na jamaa akarudi nchini. Akiwa uwanja wa ndege alikutana na binti ambaye alimvutia. Akarusha maneno yake na hatimaye wakaenda sehemu na kungonoana.

Mshtuko ulimpata pale alipoenda kutambulishwa mkewe na kukuta kuwa yule aliyekuwa amengonoana nae ndiye mkewe, wote wawili wakawa wanatazamana wakiwa na mawazo tele kichwani.

Ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?
 
Mhhhhhhhh! Hiyo ndiyo hasara ya uasherati.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Jamaa mmoja alikuwa Uarabuni kikazi. Alipokuwa anakaribia kumaliza mkataba wa kazi, huku kwao wakamfanyia utaratibu wa kumpata mwenza. Ndoa ikafanyika akiwakilishwa na mtu mwingine.

Siku iliwadia na jamaa akarudi nchini. Akiwa uwanja wa ndege alikutana na binti ambaye alimvutia. Akarusha maneno yake na hatimaye wakaenda sehemu na kungonoana.

Mshtuko ulimpata pale alipoenda kutambulishwa mkewe na kukuta kuwa yule aliyekuwa amengonoana nae ndiye mkewe, wote wawili wakawa wanatazamana wakiwa na mawazo tele kichwani.

Ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?

Mi ningempeleka akakeketwe
 
ndugu huu ni muswada wa filamu ya 3 ya kanumba kabla hajafa!
by ally kayuti
 
Sasa hapo tatizo nini,si umegonga wewe? Mbaya kama angekuwa amegonga swahiba yako tu.mlikuwa hamjuani basi sasa ni mbele kwa mbele.
 
Hao mbona walikua local kweli...? Kwani hata kama upo uarabuni alikua hatumiwi Picha za mke mtarajiwa?
 
Maisha ya ndoa yataendelea maana nimekula mimi na sio mtu mwingine; na kwa kuwa nilikubali kutafutiwa mtu ambaye simfahamu tabia yake, nitakubali matokeo yote.
 
Vipi suala la kuaminiana kwenye ndoa yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom