ATCL yashtakiwa Marekani kwa kuvunja Mkataba; kulipa karibu bilioni 10

Mazoea yana tabu. JWTZ limezoea sana kupiga raia, haliwezi tena kuacha. Itabidi raia wema waunde kikosi cha kuwalinda dhidi ya jeshi la walevi la serikali isiyojali.
 
Jamani hii tabia ya kupiga raia itaisha lini???? Kuna wakati Gen. Mwamunyange aliwaonya wapiganaji wake kuhusu suala hili. Ngoja tusikie itakuwaje. Pole sana waathirika wa kichapo.
 
Hawa jamaa sijui tabia yao ya ubabe wataacha lini! Ipo siku wananchi uvumilivu utawashinda na patakuwa hapatoshi. Pole kwa waliopigwa!
 
Wadau JF
Nasikiliza Radio One,
Naskia wanajeshi wamewachapa mikanda wananch huko Gongo la Mboto.

Source. Nipashe Newspaper and Radio One.
 
Siku zote mahali popote duniani wanajeshi huwa wanatakiwa wawe wenye nidhamu ya hali ya juu!! Huwa hawafanyi.. au wanafanya kitu pale watakapopewa amri na wakuu wao tu!! Kwa mambo haya.... kama hawakupewa amri kutekeleza hilo..... basi jeshi letu linaukosefu wa nidhamu wa hali ya juu sana!! Na jambo hilo ni hatari sana!!!!.. Na hili halinishangazi.... kama amiri jeshi ni Mkwere ambae kazi yake ni kuchekacheka tu hata katika mswala mazito na ya msingi.... tutarajie nini zaidi???...
 
mh!watu bado wana hali ngumu kwa maafa ya mabomu bado wanaongezewa kipigo!poleni watu wa gongo la mboto
 
Watu hawaheshimu sare za majeshi yetu, kama unakisa na mwanajeshi mvizie umpe kipigo akiwa kwenye nguo za kiraia sio kavaa sare.
Mkipiga askari kavaa sare ni haki yenu kupata kipigo pia.
 
Back
Top Bottom