Hivi Kuna Member wa kudumu kwenye Government Negotaing Team. tuwajue kwa majina. Maana hata JK tulimsifu kwa kutambua uwepowa mikataba mibovu lakini na yeye na watu wake wanaendelea alipoishia Mkapa
Inakuwaje mikataba inakuwa haina walk out clause.
Nadhani hata ma agent wa wacheza soka wa ulaya wanaweza kuwa mawakala wetu wa mikataba mizuri .
Au JK abinafsihe Kitengo cha mikataba kwa mashirika kama price cooper waterhouse
Kwa hali hii utaona wazi mikataba tunaandikiwa, si wajua chini ya CCM tunavyopenda misaada na easy come. Sasa yaliyojadiliwa si lazima yaandikwe, anayeandika anajali maslahi yake binafsi hata ukaomba marekebisho haitakua kama vile ambavyo ungeandika mwenyewe.
Kama rushwa ilitolewa basi hata marekebisho hua si muhimu - CCM wameuza nchi nzima na vijukuu vyao kwa rushwa ya vimilioni.