ATCL launches website to improve flight services

Tatizo ni kwamba kila kitu kimetawaliwa na siasa,shirika halina ndege halipewi mtaji wa kutosha kutoka serikalini wanapewa visenti vya mishahara tu ,kuna watu wanataka hili shirika life kabisa kwa sabau zao binafsi kama walivyofanya kwa General Tyre
 
zamani ilikuwa ukifungua web yao unakutana na maneno mawili tu

username:
login:


sijui website imecost tsh/= ngapi. Msaada plz kwa anayejua
 
Watu bwana,
Wafanyakazi 200, Ndege hakuna, eti wanazindua website leo.
Haina tofauti na Mattaka aliepita eti katika vyote, ye anajivunia kuzindua nembo tu!!!
 
wanachofanya ni usanii tu-ndege hawana-wanakimbilia website-sijui watakuwa wanaweka update zipi..hata aibu hawana
 
hapo ndio ujue kuwa hizi ajira walipeana kiundugu na hakuna mtu mwenye strategiki za kuendeleza kampuni na kuendana na technology ya sasa hivi. Sitashangaa kukuta mtu aliyesomea udaktari au u nesii akifanya kazi pale.kwa hiyo msitegemee mambo mapya wala nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom