Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,779
Waziri wa miundo mbinu amesema majuzi kwamba serikali imeanza mchakato wa kuiunda upya lile shirika la ndege la tanzania atc lililokuwa likilalamikiwa kila siku kukichwa...yamkini wengi wanajua yawezekana ni porojo za waziri kawambwa kutokana na kutokuwa mkweli kwenye maneno yake mia 2 huwa yanakaribia ukweli...wabunge wenye ufahamu wanaomjua walisikika wakiguna kabla ya kusema si kuongea wamejiandaaje????mh waziri amesema atatoa taarifa zaidi soon..\nadhani muda muaafaka umefika kulikomboa hili shirika kutoka kwa wadhalimu ..aiwezekani shirika lililokuwa na ndege 10 kuwa na ndege moja tena ndogo hili hali wafanyakazi wakiwa wanalalaama kila kukicha..kama ni kweli hii ni habari njema na nahisi kamawatakuwa makini waanze na uongozi wa juu isiwe kuteuana tena bali wapewe watu kama PWC kutafuta wenye sifa zinazohitajika....hakika watanzania wanasubiri hizo trilion walizotenga
Hongeren Wana Atc
Hongeren Wana Atc