Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,010
Kwa kweli huwa sielewi ni kwa nini mawaziri, ma-DC, na viongozi ndani ya serikali yetu hawajaacha kufikiri mambo kinyume nyume!!! Mimi ninauhakika wote huko wanajua nini kinaendelea duniani, ni basi tu kuwa miiko ya uongozi ilishakufa, watu wanantumia advantage ya opportunities wanazoziona zinakuja....
Kweli ukiangalia senema ya ATCL, TRL, na uuzwaji wa UDA; unaweza ishia kuwa chizi.... Hawataki kuelewa kuwa wa-TZ wa sasa si wa miaka 25 iliyopita. Nilimsikia Omari Nundu akielezea mikakati/mchakato wa kutumia reli katika jiji la Dar kupunguza foleni!!!! Mara kujenga reli mpya yenye "STD gauge" kati ya Tanga na Arusha. Nikaishia kusema waache wajidanganye, lakini wa-TZ siku hizi tuna uelewa japo wa kunywea maji...
Sasa haya maneno ya CHIZI, ndo kabisaaa.....