Atcl imekufa??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,880
21,956
Wadau mlioko Bongo embu tujulishen hii ni ya kweli??kuna ndugu yangu alikata safari za kigoma kwa mwezi huu kama mara 5 anateseka na kujuta kukata ATCL..Ninin kimetokea jamani shirika letu serikali mmeshindwa kabisa kutoa msaada mpaka kufikia halii hii..kama mnajua shida kwa nini muwatese wengi kwa ajili ya matatizo ya wachache....
wapwa tuhabarisheni uko..tukirudi hope itakuwa inaruka
Mungu ibariki ATCL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom