Atcl hongereni kwa matangazo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Nimefurahi kuona mabadiliko kidogo
kama waswahili wasemavyo mficha uchi azai jamani nimeona nisiwe hivyo
katika biashara yoyoyte hakuna biashara inayofanyika bila matangazo
watu wengi wamekuwa wakifikiri biashara ni bahatai hata wale ndugu zetu
ukiwaona pale las vegas kabla ya kukukaribia wanakwambia ""my milk is standing""
unabaki wewew kuangalia pochi yako imejaa uchina ama ??

Ndugu zangu atcl nimefurahi kuona juhudi mlizoanzisha katika kujitangaza inapendeza
kuona unapita kwenye mabango unakuta twiga amesimama ni furaha ilioje

wito wangu
msikate tamaa biashara ni imani na jioni ni mahesabu najua mmeanza ila itachukua muda
kuwa kwenye level msije kuacha kufanya juhudi mkilinganisha na matumzi siku zote mnajitangaza
then watu wanakuja ni wajibu wa kila mmoja mtanzania kuona mnapanua wigo wa safari
zenu mikoa mingine zaidi na zaidi nje ya nchi upanuaji huu auendani kwa mdomo bali kwa vitendo twaamin
majukumu mliobebeshwa wahshimiwa mtaweza kuyakabili na kuliona shirika letu likirudi tena kwenye system

mungu ibariki tanzania mungu ibariki atcl
 
Kama ingekuwa inawezekana kupanda hayo matangazo kwa safari Dar Mwanza ingekuwa poa sana. Naona hata ile Boeing pale airport Mza imepigwa rangi mpya na nembo imeondolewa. Kwa mtazamo wangu shirika liko hewani kisiasa lakini kimtaji na ushindani hakuna kitu. Washindani wao wamejipanga sana, hili shirika ni dili la kujitajirisha wajanja na tenda za kukodi ndege na sio la kibiashara
 
They should operate like a real business. Let all the workers adopt a business mind set because that the only way they can survive at this era of stiff competition from all corners!
 
Back
Top Bottom