Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
Hata waimba kwanya wa Rose Mhando wanapendeza kuliko hizi uniform za mama ntilie. Mimi hata angeniambia moja laki mbili bado ningemdunda kibuti-kazi
Hiyo haitoshi, walipelekwa maofisa wawili eti kuzisimamia zishonwe. wacha Chisi afukuzwe, jizi kubwa
Mwakyembe anapayuka ili kujustify usanii wa kumuweka binamu yake. Mpaka CAG atakapokagua hapo na kuthibitisha hayo matumizi ndo nitaamini. Amejumlisha gharama za safari na malazi ya hao maafisa kwenye uniform bila ya kueleza cost per unit uniform ni shs ngapi. Sasa mitanzania mijinga ikishaona tu inakurupuka na kusema huu ni ufisadi. Haiingii akilini maafisa wa shirika waende kushona nguo uchina halafu wakae huko huko kuzisubiria. Tupate taarifa kutoka upande wa pili ndio tufanye judgement. We hujiulizi kwa nini Mwakyembe alikuwa anaongea kwa jazba na kutokwa na mapovu?? Anataka kuficha kukurupuka kwake.Mliomtukana Mwakyembe jana muombe radhi sasa
sio clouds fm ni mwakyembe kaongea akirekodiwa kupitia clouds fm.....Clouds fm wamesema Chizi alikuwa amestaafu kazi mwaka jana na hela zake aikuwa amesha lipwa.
Usikute kwanza zimeshonwa kwa fundi Juma tu pale PostaMbona hazina Taswira ya taifa?
Kweli Chizi ni chizi i see jamaa wamekaa miezi miwili wanasimamia viuniform hivi
Jamani hii nchi imeoza, inahitaji ukombozi wa nguvu - inahitaji serikali ambayo itakuwa ikisikia Challenger amefisaji haraka sana wanakuja nyumbani kwangu na kuchukua kile kinachowezekana ambacho kitaringana na dhamani ya ufisaji halafu kwenda gerezaji ili kwenda kujifunza uzalendo na uzawa.
Huu mtiririko wa wizi ukianzia juu ni vigumu sana kuu-control kuliko ukianzia chini. Mfano iwapo mtoto akichemka ni rahisi sana kumuonya na kumhadabisha iwapo wewe baba ni muadilifu - ndipo nina maana wizi ukianzia chini ni rahisi kuu-control. Aidha ikiwa baba nimekubuhu kufanya madudu mtoto akifanya yale yale sitapata nguvu ya kumuonya na kumuadabisha.
Hii ndiyo hali halisi madudu, wizi, ufisadi umeanzia toka pale Magogoni - "White House", je unategemea rais atamwambia nini waziri, waziri atamwambia nini Katibu, makatibu na mwaziri watawaambia nini wakurugenzi, hivyo hivyo hadi chini iwapo wooote hawa ni wezi.
Nchi hii ina kundi kubwa la viongozi ambao hawana uchungu na nchi hii!!
Kitenge/batiki kwa usd 49,000 duh!!Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
Usikute kwanza zimeshonwa kwa fundi Juma tu pale Posta
Uniform sio hizi hawa na wanafunzi wa u-cabin crew kwenye chuo cha ATCL
Usikute kwanza zimeshonwa kwa fundi Juma tu pale Posta
Wangetafuta basi angalau wadada wazuri wazuri zikawapendeza...
Mwakyembe anapayuka ili kujustify usanii wa kumuweka binamu yake. Mpaka CAG atakapokagua hapo na kuthibitisha hayo matumizi ndo nitaamini. Amejumlisha gharama za safari na malazi ya hao maafisa kwenye uniform bila ya kueleza cost per unit uniform ni shs ngapi. Sasa mitanzania mijinga ikishaona tu inakurupuka na kusema huu ni ufisadi. Haiingii akilini maafisa wa shirika waende kushona nguo uchina halafu wakae huko huko kuzisubiria. Tupate taarifa kutoka upande wa pili ndio tufanye judgement. We hujiulizi kwa nini Mwakyembe alikuwa anaongea kwa jazba na kutokwa na mapovu?? Anataka kuficha kukurupuka kwake.
Wewe nawe! Wanafunzi! Hata kama sio hizi we unakubaliana na hizo uniform za 50thao usd? Hata ukimuuliza mama manka pale kijijini ambaye hajui hata kusoma na kuandika atakujibu kuwa huo sio ukweli! Jama tuone na aibu sasa.
Nafikiri tiba sio kumsimamisha kazi tu! Am sure Dr Mwakyembe anapita humu! Wapandishwe KIZIMBANI MARA MOJA!
Ujinga gani huu. Yaani hatuna imani na hata mtu mmoja jamani!
Tumeshambuliwa na kirusi fulani hivi! Majority ya watendaji wetu wameshambuliwa na KIRUSI CHA UFISADI (KCU)