ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)

Hizi uniform hata wangempa tenda msanii wa nyimbo Mpoto maarufu mjomba angewatengenezea easily...!!!!!! The country full of viongozi wezi
 
Wewe inawashangaa hao! Kuna mmoja m'bibi like 55+ yrs, kazi yake kucheka tu! Anakataza kutumia headphones zile za dj style ati kukiwa na emergency hutosikia. Ila niliona umuhimu wake kulikuwa na abiria mbaba ana mtoto mchanga anaenda kuzika mkewe. Akaanza counselling na tukasafiri kwa amani
Mbona naona hawa watoa huduma kwa mteja ndani ya ndege ni watu wazima sana. Kwa uzoefu wangu ndege nyingi zinakuwa na watoa huduma vijana (25 to 35 year), lakini hawa, licha ya make up zao naona umri umeenda kiasi. Kama viwango vimerekebishwa, basi watangaze nasi tuliokomaa tukaruke na wings of Kilimanjaro, ila mimi nitataka trip za nje tu, kwani nasikia ndiyo utaratibu kama mtoa huduma unaujuzi mkubwa wa kuongea hizi lugha za wenzetu, na mimi nimo!!!!
:majani7:
 
Back
Top Bottom