ATCL: Another Richmond!

AGAO ukimchunguza sana bata unaweza usimle,,ila ukishamla na kuanza kuarisha ndio unakujua kujua matatizo yake hao ndio watanzania,,,mimi bado najiuliza na hata nikikaa na wenzangu tiopata redenderz kweli shirika limepata wenyewe,,maana kuna swala hili la ndege kubwa wanaita AIRBUS,,kila siku inakuja leo leo,,pili habari tulizonazo kuna watu walitoa offer za airbus,,1)akaja na offer ya doller 260,000 pamoja na kuwafundisha wanahanga wote bure 2)kaja na offer 300,000 pamoja na matengenezo bure kwa miaka 4 ndege ikiharibika,,huyu mwingine ndie tulienunua kwake kaja anaitaji dollali 360,000,,bila lolote,baya habari tulizonazo na ambazo bado tunachunguza ndege inayokuja imekutwa na matatizo kibao yasiooelezka na maengenezo yanayoendelea yako juu ya ATCL,,JAMANI ee mollah utulinde
AMEN
 
Katka Hili Lipi Afadhali Kulipa Bei Ya Chini Na Kupata Offer Nzuri Au Kwenda Kupata Ten Percent Na Kuwasulubu Watanzania Haya
Tuwaachie Wenyewe.......
 
Salaam WanaJambo wenzangu. Naomba kumuunga mkono Pdidy kwamba badala ya kulaumu kuwa tumechukua ndege bomu na badala yake tujaribu kuangalia tatizo ni nini ili tuwasaidie wenzetu walionunua ndege hizo. Kama chakula (10%) ilitolewa tukubali kwamba pesa ishaliwa hivyo tuangalie mbele...

Kwa experience yangu kwenye Aviation Industry in Africa and a stint in the west naomba niweke yafuatayo:
1. Kwa kweli DASH8 ni ndege nzuri sana ukizingatia kwamba viwanja vyetu vingi ni vya changarawe.

2. Precission Air wameweza ku-break even using a fleet of ATR ambazo sio mbaya lakini ukiangalia kile wanachoita "After Sales Service" nadhani De Haviland Canada wapo mbele na "reliable" zaidi. Kingine kwenye hizi Dash8 kwa kweli ni comfort level.

3. Kingine ni kile kinachoitwa elevated/raised main gear and engine positioning. Hapa Dash8 inakidhi mahitaji ya rough operation sababu engine zake zipo juu na pia main gear yake kwa kweli ipo juu ukilinganisha na ile ya rival (at our situation) ATR.

4. Zamani kuna ndege ilikuwa inaitwa Forker Friendship (F27) ambayo kwa kweli ilikuwa top of the range (ATC walikuwa nazo kadhaa). Lakini tatizo ni kwamab jamaa walifunga kampuni hivyo spares zikawa shida. However tujue kwamba bado kuna military operators ambao wanatumia ndege hizi na pia Ethipian Airlines wanaqualified servicing team ya ndege hizi. Sasa kwa vile back up ya hizi Forker ni ya mtaani, nadhani Dash 8 is a prefered aicraft for Tz environment.

5. Kuna hii ndege nyingine ya South America, Embraer (Brazillian Commercial Jet. Hii sio ndege mbaya lakini hizi katika category anmbayo ATC wanahitaji "Economically" ambazo ni medium sized (40-70pax) hawana "field capable" aicrafts manake wao zao nyingi ni "Jet Engines" (copmpared to DASH 8 Turboprops)ambazo kwenye viwanja vya changarawe na wale ndege wetu kule KIA na kadhalika kungetusababisha tutumie pesa nyingi kwenye "engine repairs and maintenance". Najua kuna 30-seater EMB120 lakini hii uangalie landing gear yake na capacity (30pax) nadhani ni sababu kubwa kuinondoa kwenye competition.

Sasa turudi kwenye issue ya ubovu wa ndege hizi:
1. Zile mbili used Dash8-300 bwana hizo ni the best in the "medium capacity field capable aircraft - PAX". Nimezunguka mitaani na kwenye nchi kama Kenya utakuta nyingi zinakuwa operated by UN Agencies ambao wanafanya kazi huko Sudan na kwingineko. Haya madege bwana yanakwenda side by side but more comfort is offered with the Eastern Block built aircrafts (Antonovs, Tupolevs, Let410 etc).

2. Pili Dash8-400Q ambayo tumeletewa ni mojawapo ya zile mpya ambazo zimetengenezwa na mmiliki mpya wa Dash8 trade mark, Bombardier (1992). Tatizo kubwa kwenye ndege hizi sio engine, wala mainframe ambayo kwa kweli ni "serius problems" that have already high number of fatalities around the globe (leave aside human errors) due to crashes. Tatizo lake ni kwenye landing gear. Bombardier wameadmit kwamba baada ya 10,000 "landing gear cycles" kuna tatizo sugu kwenye ndege zote za Dash8-400Q (please note kwamba Q is nothing that "Quiet").

Decission to buy them:
1. To me ni kama nilivyosema mwanzo - uzuri wa ndege hizi in first para!

2. Pia siwezi kusema ndege hizi ni the best ever lakini tujue kwamba hata ndege zenye best track records kuna fatality "but the degree is the difference"...... Boeing 777 and Airbus A340 may be the best track recorded aircraft safety lakini tukumbuke hizi zimekuwa kwenye service for about 10 years. So sidhani kama safety ilitukima hivyo naomba nisiliangalie hili niishie kwenye operational and economical benefits.

Naona nimeongea sana na kwenye kuchapa nadhani nimekosea spelling here and there lakini nadhani message imefika panapotakiwa. Hivyo naomba ndugu zangu WanaJambo na WaTanzania kwa ujumla badala ya kuanza kuangalia safety records and recalls of DASH 8s based on "isolated incidences" tukae chini na kuangalia jinsi ya kulifanya shirika letu liende mbele. Mfano halisi jana nikiwa naangalia BBC wakati Mugabe anatua Ureno aliingia na mchuma wa Air Zimbabwe (B737 - guess what, series 230, old eeh wapi bwana inatwanga mashine ile mwanangu)!!! Nategemea na sisi ATC ikiwa mahali pake JK na wengine wengi to come inabidi watie timu JFK na "Twiga Mkimbiaji" (new logo) and make all of us PROUD!!!!!

Naomba kuwakilisha!!!!!
 
Jamani naomba niseme kwamba kuhus tenda ilivyofanyika na kupelekea kununua ndege hizi mimi sijui.... Kama kulikuwa na 10% then nadhani PCCB inabidi waangalie manake unajua sisi wengine zaidi tupo kwenye ufundi mchundo tuuu!!!!

Kunradhi for not saying this clearly in my previous post!!!!!
 
nina wasiwasi hizo used ni hizo zilizoachwa kutumiwa na SAS SCANDNAVIAN AIRLINE na hata hizo zinazosemwa ni mpya inaweza kuwa ni mchanga wa macho,sababu ni kawaida yetu kununua used lakini wananchi tunaambiwa ni vipya.
 
Migodi Barrick Wanayo Dash 8 Inafanya Safari Za Kwenye Migodi Yake Yote Kila Siku...dar..bulyahuru,north Mara And Will Be Doing So In Buzwagi.dash Imekuwa Ikifanya Kazi Hiyo Since Then..mpaka Sasa Inafanya Except Some Few Erros Which Are Normal..na Imetoka Canada Uko Uko..but Je Serikari Inaweza Kugharamikia Hayo Matengenezo..hii Ndio Issue?
 
Good point Buswelu. Tukumbuke kuwa Tanzania tuliweza kumaintain shirika letu la ndege kwa kutumia facilities zetu pale KIA (KIMAFA) na vilevile DIA. Tatizo ni pale mambo yalipoharibika (mauzo ya shirika) kutokana na ulafi (may be) nk... Pia tukumbuke kuwa tatizo lilioiua ATC lilikuwepo swala la "SIASA". Nadhani (sina uhakika) kwamba kulikuwa na maingilio ya wakuu wa serikalini katika "day to day operations" za shirika ikiwemo maombi ya "free/rebate" tiketi nakadhalika. Sasa tumepata ndege (zinakuja) na tusifikirie kwamba eti kwa vile zile DASH8-300 blisi zilizotumika ni mbovu, hapana ni kwamba "zimetumika"

Jamani ee, "lets stop worrying and start living"

Naomba kuwakilisha......
 
..muda mfupi uliopita community airlines wamezindua ndege yao!

..inaonekana kwamba soko la safari za ndege ni promising in tanzania!

..kazi bado ipo kwenye viwanja vilivyopo,ambavyo ni choka mbaya na chini ya viwango!
 
Dar si Lamu, hapo umenena. Lakini swala la viwanja nadhani ATC lazima wakae chini na waheshimiwa wa TCAA kuwaelezea mipango yao sababu kununua ndege ni kitu chwa kwanza na mahali pa kuzipeleka (including ground handling, ground support, check/maintenance, ATC services - hizi ni Air Traffic Cntrol Services, safety - fencing/wizi) na vingine vingi kwa kweli lazima viangaliwe. Manake unajua competition ndio inakua kutokana na makampuni mengi kuingia katika biashara tusishange mambo yakawa magumu in the next few years wakati ATC ikiwa na fleet ya kama 10 crafts halafu na wengine waliopo (including local and international carriers) halafu wanashindwa kufanya operation zao - eti apron ya DIA imejaa hebu nendeni Zenji kwanza mpaka jamaa wa Imarati aondoke, ha ha haaaa... usicheke ndugu yangu unatokea hii....
Naomba kuwakilisha...
 
Hii ya leo leo jamani kutoka Gurdian (www.ippmedia.co.tz)....

Vijana ndio wanaanza kazi then unawaambia jitumeni tu lakini huyo mke mliyenaye atakuwa "Privatized" once akianza kuingiza faida.... Kumbuka haoa wafanyao kazi wanajua kilichotokea kwenye harusi ya kwanza with South African Airways... Kweli serikali ni sirikali, wewe unategemea hao jamaa watakuwa proud with what they do and be aggressive to achieve targets wakati wanajua kuwa wanacheza makida makida tuu?? Lets be serious and have more faith in our people sababu kumwambia mfanyakazi that nita "Privatize" shirika manake huna imani naye!!!!

Privatisation looms for Air Tanzania
2007-12-08 09:04:03
By Njonanje Samwel

The government has said Air Tanzania Corporation, will be privatised when it gets financially strong enough.
Infrastructure Development minister Andrew Chenge announced the plans at the climax of celebrations to mark the International Day of Air Transportation held at the Mwalimu Nyerere International Airport in Dar es Salaam yesterday.

The national carrier entered into a partnership with South African Airways in 2002 but the marriage crumbled last year, with reports saying the joint venture arrangement was a flop.

Chenge said the government withdrew from the partnership to enable the corporation run on its own ``in line with the 2003 national transportation policy``.

He explained that part of the thrust of the policy is to ensure better and safer domestic and international transportation by making improvements in all relevant sectors, including aviation, so as to boost the national economy.

The minister pledged full government cooperation with the ATC board of directors and management in helping the corporation grow rapidly and smoothly enough to make profitable business before it is sold off to competent investors.

The government would always make sure that infrastructures are improved as much as possible using locally available resources and collaborating with the country`s development donors, he added.

He revealed that, in line with the government`s decision to upgrade the country`s airports, the second phase of the rehabilitation of infrastructure at the Mwalimu Nyerere International Airport at a cost of about euro 25 million would start next April.

The World Bank has already issued a loan to enable the government to rehabilitate to tarmac level runways at Arusha, Bukoba, Kigoma, Mafia, Shinyanga, Sumbawanga and Tabora airports.

Tanzania Civil Aviation Authority Director General Margaret Munyagi meanwhile said that the agency would continue working hard in regulating the aviation sector to make it attract more players.

She said part of their strategy was to ensure that air transport in the country is safe and efficient.

`If well used, the aviation industry can become a key contributor to the country`s economy. We, as regulators, will make sure the goals are achieved by working closely with all stakeholders and putting in place a conducive environment in the industry,` she added.

Munyagi called on the government to invest more in infrastructure, mainly by concentrating on the building of modern airports and upgrading existing ones.

SOURCE: Guardian
 
Sina budi kukubaliana na Mwana wa...
Shirika hili la Serikali liliundwa, na vifaa kebe kebe, soko la kumwaga, likawashinda tuliowakabidhi kama ilivyokuwa kwa mashirika mengine. Tukaingia mkataba na Mbeki huku tumefunga macho na masikio (kama ilivyo kawaida yetu?), bila kujua kwamba Mbeki anataka kujenga Shirika lake kwa nguvu zote, ikiwa ni pamoja na kubomoa mengine kama ATC, ili litambe kuanzia Cape of Good Hope hadi Bahari ya Mediterani na zaidi. Sasa liko ICU baada ya Mbeki kutuonea huruma na kulirudisha kabla ya halijafa kabisa. Sasa linachota mabilioni hazina badala ya kuingiza kama faida kwa walipa kodi. Wakati huo huo, yapo mashirika binafsi yanaingiza fedha hazina kwa kodi zao. Sasa ya kujiuliza ni haya;
ATC ina faida gani kwangu kama Mtanzania?
Je hiyo faida ambayo inahisiwa kwamba inaweza kupatikana, inaweza kupatikana kwa njia nyingine, kama kwa kuwa na Shirika la Kitanzania lakini linaloendeshwa kwa misingi ya kampuni binafsi?
Kipi bora, kuwa na Kampuni tunayoiita ya Taifa/wananchi lakini inawapa hasara kila uchao, au kuwa na kampuni ya Kitanzania ambayo inawapa faida kwa kulipa kodi?

Mwana wa... anaposema Serikali ijiondoe kwenye umachinga ana maana hiyo, Serikali, hasa hizi za kwetu, haziwezi kufanya Biashara. Anaposema bora bangi .. inaeleweka.

Sina imani kwamba kweli litakuwa shirika linaloweza ku-compete. Inawezekana, lakini itakuwa maajabu, na mambo hayaendeshwi kwa kutegemea kutokea kwa maajabu!

Naona bado kuna watu wanao-amini kuwa serikali bado inaweza kufanya biashara. Hata nchi zilizoendelea ukiuliza ni taasisi gani zisizojua matumizi ya pesa watakwambia serikali. hata wananchi wa nchi za Scandinavia wanaelewa kuwa serikali si mtumiaji mzuri. Kwanini tunaamini kuwa taasisi isiyojua kutumia inaweza kuendesha biashara.

Moja ya sheria ya World Trade Organization (WTO), ni serikali kuacha kuyapa ruzuku mashirika ya kibinafsi au kiserikali hili kuongeza upinzani wa kibiashara.

Kama Tanzania ikifuata misingi WTO, na kuacha kutoa ruzuku ili shirika halitaweza kwenda mahali popote.
 
Manake unajua competition ndio inakua kutokana na makampuni mengi kuingia katika biashara tusishange mambo yakawa magumu in the next few years wakati ATC ikiwa na fleet ya kama 10 crafts halafu na wengine waliopo (including local and international carriers) halafu wanashindwa kufanya operation zao - eti apron ya DIA imejaa hebu nendeni Zenji kwanza mpaka jamaa wa Imarati aondoke,

..au tuzunguke hewani kama dakika tatu,kama pale heathrow!tusije sababisha ajali tu!

ha ha haaaa... usicheke ndugu yangu unatokea hii....
Naomba kuwakilisha...

..nimecheka!
 
Naona bado kuna watu wanao-amini kuwa serikali bado inaweza kufanya biashara. Hata nchi zilizoendelea ukiuliza ni taasisi gani zisizojua matumizi ya pesa watakwambia serikali. hata wananchi wa nchi za Scandinavia wanaelewa kuwa serikali si mtumiaji mzuri. Kwanini tunaamini kuwa taasisi isiyojua kutumia inaweza kuendesha biashara.

..kuna shughuli nyingine zenye maslahi au muonekano/hadhi ya taifa sekta binafsi haiwezi kuzifanya vizuri au na kwa manufaa ya taifa!bahati mbaya nyingi ya hizi zina element kubwa ya kibiashara!

..zipo serikali kadhaa zenye mashirika yanayofanya biashara au kusimamia kampuni za kibiashara!moja ni singapore!yenye holding company[ina makampuni/hisa katika makampuni kadhaa ikiwemo singapore airlines na singapore telecommunications]inayoitwa temasek.and mind you,hizo hisa ni over 50%!

Moja ya sheria ya World Trade Organization (WTO), ni serikali kuacha kuyapa ruzuku mashirika ya kibinafsi au kiserikali hili kuongeza upinzani wa kibiashara.

..sheria hizi ni kwa wajinga kama sisi na si wenye ufahamu wa maslahi na maendeleo ya taifa lao!

Kama Tanzania ikifuata misingi WTO, na kuacha kutoa ruzuku ili shirika halitaweza kwenda mahali popote.

..kuna kipindi ruzuku ni muhimu,ila si dawa endelevu ya kukwamua mashirika yenye hasara!it's supposed to be a shot in the arm!

..na mara nyingi ukifuata misingi ya wto to the letter,nchi yako ita-end up kushindwa katika soko la dunia na kuwa masikini!
 
2007-12-08 09:04:03
By Njonanje Samwel

The government has said Air Tanzania Corporation, will be privatised when it gets financially strong enough.

Infrastructure Development minister Andrew Chenge announced the plans at the climax of celebrations to mark the International Day of Air Transportation held at the Mwalimu Nyerere International Airport in Dar es Salaam yesterday.

The national carrier entered into a partnership with South African Airways in 2002 but the marriage crumbled last year, with reports saying the joint venture arrangement was a flop.

Chenge said the government withdrew from the partnership to enable the corporation run on its own ``in line with the 2003 national transportation policy``.

He explained that part of the thrust of the policy is to ensure better and safer domestic and international transportation by making improvements in all relevant sectors, including aviation, so as to boost the national economy.

The minister pledged full government cooperation with the ATC board of directors and management in helping the corporation grow rapidly and smoothly enough to make profitable business before it is sold off to competent investors.

The government would always make sure that infrastructures are improved as much as possible using locally available resources and collaborating with the country`s development donors, he added.

He revealed that, in line with the government`s decision to upgrade the country`s airports, the second phase of the rehabilitation of infrastructure at the Mwalimu Nyerere International Airport at a cost of about euro 25 million would start next April.

The World Bank has already issued a loan to enable the government to rehabilitate to tarmac level runways at Arusha, Bukoba, Kigoma, Mafia, Shinyanga, Sumbawanga and Tabora airports.

Tanzania Civil Aviation Authority Director General Margaret Munyagi meanwhile said that the agency would continue working hard in regulating the aviation sector to make it attract more players.

She said part of their strategy was to ensure that air transport in the country is safe and efficient.

`If well used, the aviation industry can become a key contributor to the country`s economy. We, as regulators, will make sure the goals are achieved by working closely with all stakeholders and putting in place a conducive environment in the industry,` she added.

Munyagi called on the government to invest more in infrastructure, mainly by concentrating on the building of modern airports and upgrading existing ones.

* SOURCE: Guardian
 
Ndege Dash8 Q400 ya kubeba watu 74 ndo hiyo.
Ndege hii inanikumbusha zile ndege za Jeshi aina ya buffalo ambazo JWTZ walikuwa wakizitumia kama Daladala mpka zote zikafa.
 
Attachments

  • Doc1.doc
    389.5 KB · Views: 45
..kuna shughuli nyingine zenye maslahi au muonekano/hadhi ya taifa sekta binafsi haiwezi kuzifanya vizuri au na kwa manufaa ya taifa!bahati mbaya nyingi ya hizi zina element kubwa ya kibiashara!

..zipo serikali kadhaa zenye mashirika yanayofanya biashara au kusimamia kampuni za kibiashara!moja ni singapore!yenye holding company[ina makampuni/hisa katika makampuni kadhaa ikiwemo singapore airlines na singapore telecommunications]inayoitwa temasek.and mind you,hizo hisa ni over 50%!

..sheria hizi ni kwa wajinga kama sisi na si wenye ufahamu wa maslahi na maendeleo ya taifa lao!

..kuna kipindi ruzuku ni muhimu,ila si dawa endelevu ya kukwamua mashirika yenye hasara!it's supposed to be a shot in the arm!

..na mara nyingi ukifuata misingi ya wto to the letter,nchi yako ita-end up kushindwa katika soko la dunia na kuwa masikini!

Haya ndio tunayorudia katika midahalo ya kushindwa kwa ujamaa. Wengine tunaamini kabisa kuwa Ujamaa ulishindwa kwa sababu hauwezekani. Na wengine wanasema unawezekana kwa kutuonyesha mifano ya China na Nordic countries.

Sikatahi kuwa kuna serikali zimeweza kuendesha mashirika yao. Shirika la ndege la Ethiopia liliweza kufanya kazi wakati nchi nzima ikiwa kwenye vita na kwa faida.

Mafanikio mashirika ya ndege ya Ethiopia na Singapore yana historia ndani yake. Sisi hatuna historia ya kuendesha mashirika ya umma(period, nukta).

Unatupa mafanikio ya juu juu ambayo wewe unayaona lakini unashindwa kueleza kiini cha mafanikio ya Singapore. Miaka ya nyuma, nchi kama Zambia, Zaire, Ghana au Nigeria zilikuwa sawa au zimeizidi Singapore. Kwanini Singapore imefanikiwa na wenzetu wamedoda?

Siri moja ni kuwa walipopata uhuru, walielewa kuwa nchi yao ina rasimali asilia chache (natural resources). Walichofanya ni kutayarisha workforce yao kuwa chanzo cha utajiri wao. Moja ya nchi yenye mitaala mizuri elimu na yenye kutoa elimu nzuri dunia kutoka vidudu mpaka chuo kikuu ni Singapore.

Pamoja na kuwa na idadi kubwa ya watu na rasimali za kumwaga, Tanzania haijafanya lolote toka kupata uhuru kuandaa workforce yake.

Wanaoendesha Singapore Airline au Telecom. sio mumble jumbo wetu wanaokurupuka.

Kitu kingine cha kukumbuka ni kuwa sehemu kubwa ya Singapore ni Wachina na mahusiano yao na Mainland China sio mabaya. China ina watu zaidi ya bilioni moja na uchumi unaokuwa kwa kasi. Idadi ya watu katika eneo hilo, ukubwa biashara ya kimataifa na per capital income inatoa picha nzuri ya mafanikio yao.
 
Ndege Dash8 Q400 ya kubeba watu 74 ndo hiyo.
Ndege hii inanikumbusha zile ndege za Jeshi aina ya buffalo ambazo JWTZ walikuwa wakizitumia kama Daladala mpka zote zikafa.

Ukubwa wa ndege sio tatizo. Inategemea ni model gani ya biashara unaitumia. Kuna model ya kukodi, kuna model ya kimikoa (regional airlines), kuna model ya masafa marefu.

Kwa safari za Mwanza DSM, DSM Mtwara, DSM Mbeya model ya kimikoa inatosha na Dash8 Q400 ni ndege safi tu kwa sababu itatumia mafuta kidogo na number ya crews itakuwa ndogo na kupunguza gharama za uendeshaji kitu muhimu sana katika mashirika ya ndege.

Safari za DSM London zinahitajika ndege kubwa. Kwa sababu kuendesha ndege yenyewe tu gharama zake ni nzito na hivyo ni lazima wasafiri wawe wengi.
 
Bin Maryam, nakubaliana kabisa na "argument" ya uendeshaji wa biashara na utamaduni wetu - kama nimekosea kuelewa naomba uniambie tafadhali. Mimi ni wale "Old School" ambao bado tunaamini kwamba MTanzania anaweza fanya kazi nzuri tu bila kuhitaji "Privatization". Unajua tatizo ni kwamba huwezi mpa mtu kitu cha mamilioni kuendesha (with lotsa of corruption avenues) bila kumpa maslahi ya kutosha. Mimi kimawazo sidhani kama kuna "culture" ya kushindwa bali yafuatayo ndiyo matatizo:
1. Maslahi duni kwa wafanyakazi husika katika mashirika na serikalini,
2. Upendeleo katika kuweka wakuu wa haya mashirika kutokana na undugu, urafiki, takrima n.k. Muda mwingi hatutoi posts based on merrits but rather based on know who!
3. Utata katika sheria ya rushwa... hapo ndipo kwenye tatizo hapo regarding 10% nk
4. Mikakati duni ya motisha kwa wafanyakazi. Hii ina maana kutoa shares za mashirika hayo kwa wafanyakazi kuinua morali yao na vitu kama hivyo....
5. Kuingiza politics kwenye operations za mashirika... Hili to me was the main killer wa ATC originale!!!!!

Kwa hiyo kusema Ethipia wana dsturi ya biashara mimi nakataa... wale jamaa mpaka leo shirika lipo serikalini (with JV here and there similar to KQ operations). Siri yao ni kuwa strict kwa wale wazembe, walaji na wengine wanaorudisha nyuma shirika. Ukila ukajulikana, muzee pamoja na kwenda ndani, mali inarudishwa. Nigeria, Zaire (now DRC) n.k walikuwa juu wakubwa wakala wakapeleka nje. Kibaya kule ni kwamab ilikuwa ngumu kuwafanza walaji.... Mfano mzuri wa watu kufanzwa kwa uzembe, ufujaji wa mali ya uma na mambo kama hayo kwa sasa ni Rwanda. Angalia ambavyo Kagame anafanza walaji kule, mwanangu ni shughuli.... Hivyo ndiyo njia pekee ya "forced tradition/habits" into our good Tanzanian heads... JK, kazi hiyo wakamate, wa "confirm", wafilisi kisha.... wafunge... hapo watu tutabadili "the so called culture duni"
Tukumbuke pia kama ni ufanisi sio lakima kutoa mambo bwerere, tumeshaangalia mitakaba ya JV yenye akili?? ET, KQ, Swiss, na mengine mengi yameingia kwenye mamboz kama hayo etiiii, lakini lazima tutumie akili na sio "MATUMBO" katika kutayarisha mikataba kamaa hii...

Naomba kuwasilisha....
 
Haya ndio tunayorudia katika midahalo ya kushindwa kwa ujamaa. Wengine tunaamini kabisa kuwa Ujamaa ulishindwa kwa sababu hauwezekani. Na wengine wanasema unawezekana kwa kutuonyesha mifano ya China na Nordic countries.

Sikatahi kuwa kuna serikali zimeweza kuendesha mashirika yao. Shirika la ndege la Ethiopia liliweza kufanya kazi wakati nchi nzima ikiwa kwenye vita na kwa faida.

Mafanikio mashirika ya ndege ya Ethiopia na Singapore yana historia ndani yake. Sisi hatuna historia ya kuendesha mashirika ya umma(period, nukta).

Unatupa mafanikio ya juu juu ambayo wewe unayaona lakini unashindwa kueleza kiini cha mafanikio ya Singapore. Miaka ya nyuma, nchi kama Zambia, Zaire, Ghana au Nigeria zilikuwa sawa au zimeizidi Singapore. Kwanini Singapore imefanikiwa na wenzetu wamedoda?

Siri moja ni kuwa walipopata uhuru, walielewa kuwa nchi yao ina rasimali asilia chache (natural resources). Walichofanya ni kutayarisha workforce yao kuwa chanzo cha utajiri wao. Moja ya nchi yenye mitaala mizuri elimu na yenye kutoa elimu nzuri dunia kutoka vidudu mpaka chuo kikuu ni Singapore.

Pamoja na kuwa na idadi kubwa ya watu na rasimali za kumwaga, Tanzania haijafanya lolote toka kupata uhuru kuandaa workforce yake.

Wanaoendesha Singapore Airline au Telecom. sio mumble jumbo wetu wanaokurupuka.

Kitu kingine cha kukumbuka ni kuwa sehemu kubwa ya Singapore ni Wachina na mahusiano yao na Mainland China sio mabaya. China ina watu zaidi ya bilioni moja na uchumi unaokuwa kwa kasi. Idadi ya watu katika eneo hilo, ukubwa biashara ya kimataifa na per capital income inatoa picha nzuri ya mafanikio yao.

..kwahiyo,umekata tamaa?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom