Atakapozikwa Mandela ni hapa!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Uwanja uliotengwa kwa kaburi la Mandela
610x.jpg
The site allocated, according to community members, for the funeral of former South African President Nelson Mandela
situated in Qunu on the outskirts of Mthatha, South Africa. South Africa says former President Nelson Mandela is resting in his home village on his first trip since being briefly hospitalized earlier this year.

In a statement Monday, President Jacob Zuma says, "We are pleased that he is now well enough to travel." Zuma says Mandela left Johannesburg Sunday for Qunu, in southern South Africa, accompanied by family and by medical and security personnel.

-Associated Press
 
Gosh i thought he is dead!!!, thanks to God for keeping him alive may he continue to bless him with good health.
 
i am officially getting frustrated by this. Hii mambo ya kujadili openly mahali pa kumzika mtu wakati mnafahamu kabisa he is living on borrowed time is so very unafrican! this is beyond!
 
Gosh i thought he is dead!!!, thanks to God for keeping him alive may he continue to bless him with good health.
Dalili ya mvua ni mawingu!

Katika picha hii, mke wa Mzee Mandela, Graca Macel anakagua eneo litakapochimbwa kaburi. Inaonekana mapaparazi wameshatinga na vifaa vyao kufuatilia kila sekunde na dakika. Tumuombee Mandela nguvu na maisha zaidi.

610x.jpg
Graca Macel, right, the wife of former South African President Nelson Mandela inspects an area that, according to local community members, has been designated for his burial site in Qunu on the outskirts of Mthatha, South Africa, Wednesday, May 25, 2011. - Associated Press
 
Dalili ya mvua ni mawingu!

Katika picha hii, mke wa Mzee Mandela, Graca anakagua eneo litakapochimbwa kaburi. Inaonekana mapaparazi wameshatinga na vifaa vyao kufuatilia kila sekunde na dakika. Tumuombee Mandela nguvu na maisha zaidi.
View attachment 31157

jamani mbona upo straight hivyo hujui mwenzio nampenda sana Mandela naweza kuzimia!! au tayari hayupo tena kwa nini mke akakague na mume wake kama yupo hai au hali yake inaashiria any time soon hatakuwepo?. na hii ni mbaya huyu babu akisikia atajisikiaje au ndio mambo ya kizungu?
 
jamani mbona upo straight hivyo hujui mwenzio nampenda sana Mandela naweza kuzimia!! au tayari hayupo tena kwa nini mke akakague na mume wake kama yupo hai au hali yake inaashiria any time soon hatakuwepo?. na hii ni mbaya huyu babu akisikia atajisikiaje au ndio mambo ya kizungu?
Mamzalendo samahani sana. Sio nia yangu kukushtua. Ninawasilisha habari kama ilivyoripotiwa, na inaonekana ina ukweli ndani yake.
 
Wakianza upanuzi wa Transmission line hapo si Watamfukua tena Jameni, Au ndo wakubwa hawafukuliwagi??
 
Hii thread inahuzunisha sana kwa kweli. hata hivyo ni sehemu nzuri for the final journey. Mungu ampe afya mzee wetu.
 
Wakianza upanuzi wa Transmission line hapo si Watamfukua tena Jameni, Au ndo wakubwa hawafukuliwagi??
610x.jpg
Sidhani kama kutakuwa na huo mpango. Hiyo sehemu sio mbali na nyumba ya Mandela na inaonekana sehemu yote ni preserved site. Hizo transimission itabidi ziwekwe sehemu nyingine!
 
Kwani huyu Mzee ameanza kuuugua?
Naona watu wengi kweli wanaumezea mate Uhai wa huyu Babu... Dah!!!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Haya mambo ndio kama kipindi kile cha Yassin Arafat,mtu ajafanya watu wameshaanza kuandaa kaburi.....
 
Mhh! hii i mpya na ndo mabadiliko ya mfumo wa maisha yanasababisha haya kutukia.
 
Duh!! Mungu amzidishie mzee Mandela maisha marefu, He is my ICON,Long live Mandela, we will keep you in our prayers always
 
This is not Africanism, nashangaa hata mke wa Mandele anaenda kukagua mahli atapozikwa mzee. Sipati picha anajisikia vipi. Si vibaya kuandaa sehemu ya kuzika watu maarufu kama mandela, lakini pia si uungwana kuspecify kwamba Mandela atazikwa eneo fulani, na hasa kipindi hiki ambapo afya yake inatetereka.
Kwa kuwa mke wake anajua atazikwa wapi, hata Mandela tayri ana taarifa hizo, lazima ajisike vibaya. Yeye ni mwanadamu!
 
Assume Jesus comes today and Mandela is incarnated. It will be shame on those pretend to forecast his death.
LONG LIVE MADIBA, ICON OF THE WORLD
Assume Jesus comes today and Mandela is incarnated. It will be a shame on those pretending to forecast his death.
LONG LIVE MADIBA, ICON OF THE WORLD[/QUOTE
 
Back
Top Bottom