Ataka kumuua mkewe kwa sababu ya wivu wa mapenzi

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Jamani wivu wa mapenzi ni noma !
 
Attachments

  • WIVU NOMA.jpg
    WIVU NOMA.jpg
    13.3 KB · Views: 332
Loh,huyo mume muuwaji,ningekua mie mpaka hapo huyo mwanamme tushamalizana.
 
Ukiona mwenzio katoka nje hasa mwanamke jua mwanaume umeleta shida, jitafakari na si kuwaza kuua.
 
huyo co mwanaume, ni mnyama.
wanaume wa kweli tuana solve mambo kwa maneno mazuri ya busara, hatuwezi kufika huko hata sikumoja.
 
sawa bwana hawa viumbe wanaboa bwana! We unakuta demu unamjali kwa kila ki2! Alafu unakuja unamfumania! Unatia moto 2!
 
Mtoto wa watu tumeshindana tabia namrudisha kwao, ya nini kujitafutia laana?
 
Unyama huu lazima ukomeshwe. Kumbukeni ile habari ilitokea Bunda ya mtu kumgonga mkewe kwa gari !! Hawa wanayama lazima wakomeshwe.
 
Kuibiwa kibobo ni noma............... roho inauma eti! Kama alifanya within 10seconds then action haitakuwa imekusudiwa. Everybody has inability to control himself/herself within that time limit!
 
Jamani wivu wa mapenzi ni noma !
Inauma lakini wenzie hatufanyi hivyo, tunadili na huyo kidume kwa kumpa alichompa huyo mama mbele ya huyohuyo mwanamke, halafu mwanamke tutaelewana nyumbani lakini si kwa staili hiyo.
 
Kuibiwa kibobo ni noma............... roho inauma eti! Kama alifanya within 10seconds then action haitakuwa imekusudiwa. Everybody has inability to control himself/herself within that time limit!
lakini jamaa na yeye si angemmega huyo mshikaji au angemkata kiungo tendaji ili asiwatende na wengine.
 
Hiyo ndio dawa ya wanawake wazinzi.

unaweza ukawaeleza wanajamvi waliopo hapa nini dawa ya mwanaume mzinzi anaeteleza familia yake. tafakari kwanza kabla ya kutenda huu unyama nini chanzo, asikwambie mtu ukiona mwanamke ametoka nje kuna sababu na wengi ni baada ya waume zao kutotimiza wajibu hasa wa chakula cha usiku. dharau baada ya kupata nyumba ndogo (kujisahau kwaujumla).
 
Mkuu nakuunga mkono kwa 100%
 
Back
Top Bottom