Elections 2010 Atagombea wapi?

akigombea poa coz akichaguliwa ina maana watu wameona anafaa! tusilaumu kisa eti ni mtoto wa prezidaaa inawezekana hata ni kichwa kuliko prezidaaa!! watanzania tumejijengea ktu cha ajabu sana tena sana kiasi kwamba hata kizuri sasa hv tutakiona worse kikiwa worse ndo tunaoa yeap! lets think big!
 
kiongozi hapo juu big up sana mdau there u ar! hawa watu wanaboa na wakiendelea na hii tabia ya kuwalaani watoto wa viongozi kwa kuangalia tabia za wazazi wao watalaaniwa wao! nimeudhika sana na kitendo hcho! hawa watoto wana uwezo wao wenyewe bana! watajisikiaje mnavowasema mbovu hv? simsome na nyie kama mna uwezo tutawasupport! wangekuwa wazazi wao ni wanasoka nao wawe wanasoka hata jamii nzima mngesifia mpka mwisho wa uhai wao! lets think big
 
akigombea poa coz akichaguliwa ina maana watu wameona anafaa! tusilaumu kisa eti ni mtoto wa prezidaaa inawezekana hata ni kichwa kuliko prezidaaa!! watanzania tumejijengea ktu cha ajabu sana tena sana kiasi kwamba hata kizuri sasa hv tutakiona worse kikiwa worse ndo tunaoa yeap! lets think big!

Kichwa kitoke wapi pale ni influence ya prezidaa tu? Ulizia data zake utajua upstairs yukoje. Hivi angekuwa na chamber yake unaweza kwake kama advocate wako?
 
kiongozi hapo juu big up sana mdau there u ar! Hawa watu wanaboa na wakiendelea na hii tabia ya kuwalaani watoto wa viongozi kwa kuangalia tabia za wazazi wao watalaaniwa wao! Nimeudhika sana na kitendo hcho! Hawa watoto wana uwezo wao wenyewe bana! Watajisikiaje mnavowasema mbovu hv? Simsome na nyie kama mna uwezo tutawasupport! Wangekuwa wazazi wao ni wanasoka nao wawe wanasoka hata jamii nzima mngesifia mpka mwisho wa uhai wao! Lets think big

tulifuta usultani ili kutoa usawa kwa kila mwananchi kushiriki katika mustakabali wa nchi hii. Adhawaidhi, mtu kama mimi saa hii ningekuwa chifu kule kwetu na hakuna mtu mwingine atakaye pata kiti changu ila mtoto wangu tena wa kiume.

What is different to what i narrated above with the sons and daughters of the current learders?

Kama kuna watu wanasapoti hili la makinda ya viongozi wote kuwania ulaji, basi inabidi binafsi nimlaani nyerere na tanu na ccm kwa kutuondoa kwenye uongozi ili wao baada ya miaka kadhaa wachukue katiba zetu za uchifu.
 
Mbona Vita yuko mjengoni?, nenda Riz nenda Janu pia nenda, Nape nae aende, kama Fred ana interest pia aingie, William pia aingie, Kina Steve na Niko pia kama wana interest nao waacheni waingie. Tuwahukumu hawa vijana with their own merits na sio kutokana na majina yao ya ubini.[/QUOTE]

Mkuu Pasco, Mbona kama unalinganisha mbingu na ardhi? Simba wa vita hakusigina kanuni 'kumwandalia' kijana wake 'ukuu'. Vita katokea vumbini kufika hapo halipo na si kubebwa kwa mbeleko kama matendo yanavyoonyesha sasa!
 
Mkuu some points to ponder!

1. Mbona Makongoro Nyerere alipogombea ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tkt ya NCCR MAGEUZIhakuna aliyekuwa akimuhusisha na baba yake?

2. Mbona Ipyana Malecela alipotaka kugombea uenyekiti wa UVCCM hakuhusishwa na baba yake?

Well kwa mifano hiyo miwili inaonyesha kwa hawa vijana kuna mienendo tofauti inayooenyesha they are not standing by themselves. And people can see that na ndiyo maana wanaongea!

3. Kwamba Riz alikuwa kiongozi UDSM is just ridiculous, maana uongozi wa pale UDSM especially uwaziri ambao hata mimi niliwahi kuwa nao ni cheo cha kupewa na mara nyingi haiangalii uwezo. It is just mahusiano yako na Rais au Vice- pres aliyechaguliwa. No vetting, no backgoundchecks and no clear qualifications. You would have made a point kama ungetuambia alikuwa kiongozi wa nini na lifanya nini different na waliomtangulia otherwise it is just putting yourself in the tank of these youngmen who have no known accomplishements working for the society.

4. Just a reminder, hii ni mara ya kwanza kwa historia ya Tanzania ambapo we have a president na familia yake bize kuusaka uraisi kwa awamu nyingine.
Nyambala,
Nimekusoma,
Issue ya huyu kijana sasa inageuka kuwa obsession, hata akikohoa ataandikwa au kuulizwa kwa nini amekohoa.
Tofauti ya Riz na Makongoro au Ipi (RIP), ni wao wali bid wakati baba was out of power, huyu kijana baba ndio yuko in power na yeye ana power yake binafsi kupitia UV-CCM na kuzidi kuonekana tishio kuwa atabebwa na baba wakati ukweli ni kuwa apaishwa tuu na umaarufu wake kujumlisha umashuhiri wa baba kiasi hata kupelekea Mzee Mwanakijiji kuingia kwenye this low discussion.
Turudini kwenye maslahi ya Taifa.
 
Mbona Vita yuko mjengoni?, nenda Riz nenda Janu pia nenda, Nape nae aende, kama Fred ana interest pia aingie, William pia aingie, Kina Steve na Niko pia kama wana interest nao waacheni waingie. Tuwahukumu hawa vijana with their own merits na sio kutokana na majina yao ya ubini.

Mkuu Pasco, Mbona kama unalinganisha mbingu na ardhi? Simba wa vita hakusigina kanuni 'kumwandalia' kijana wake 'ukuu'. Vita katokea vumbini kufika hapo halipo na si kubebwa kwa mbeleko kama matendo yanavyoonyesha sasa!

Kwa taarifa yako, mzee kawawa angefariki kabla ya 2005 vita asingekuwa mjengoni. Hii nchi huijui wewe. What does Vita has to offer kwa wapiga kura mpaka awavutie? hata kwenye kura za maoni tu huko jimboni kwao alipita katika mazingira tatanishi.
 
Anaweza kupewa hata ubunge wa kuteuliwa. Hakutakuwa na cha kushangaza Mkjj, kwani huoni watoto wa waheshimiwa wote wamejazana CCM kama vile hakuna sehemu nyingine ambayo wanaweza kufanya kazi? Kimeshakuwa chama cha kifalme hicho ukilinganisha na miaka iliyopita kilipokuwa chama cha wakulima na wafanyakazi, kama huna jina kubwa la kiheshimiwa basi we URIE TU!

Kwe alama nyekundu ungeweka neno we utakuwa wa kuchagua wengine katika chama
 
Siamini kama JK anaweza kumpa mwanae ubunge na unaibu wa waziri..kufanya hivyo hata hao wanaotetea ufisadi ccm watamgeuka 2015 na atashindwa kumpitisha mrithi wake(membe) na Matokeo yake Shibuda ama Lowassa atakuwa raisi
Mambo kama haya ndiyo yanamjengea kikwete sifa kwa wanachi-magazeti yanatoka hapa na kwenda kuandika “kikwete anampango wa kumpa mwanae ubunge na unaibu wa uwaziri” halafu baada ya uchaguzi asipompa anaoneka kama kiongozi bora na wananchi wa kawaida na kuamini kwamba magazeti hayamtendei haki.
Mimi naamini Ridhiwani na January ataachiwa Membe kama Pasco alivyoelezea
 
Ridh aliupata Uwaziri wa DARUSO kutokana na kwanza watu kujipendekezapendekeza nakumbuka ni aliyekuwa jamaa mmoja wa B.COM aliyeitwa Rugemalila ( hata Zitto ni mmojawapo) aliyempa huo Uwaziri ikumbukwe kwamba alikuwa tu 1st year. Hakukuwa na connection au link yoyote baina yake na hao majamaa wa DARUSO isipokuwa jina ndilo lililomtoa. Watu wanakutumia ili waje wafaidi na that's gambling ni kama vile akina Masha walipomwajiri katika firm yao mara baada ya JK kupitishwa na CCM 2005. Na dogo alienda hadi Mwanza kumkampenia Masha. Hata hivyo tusimlaumu sana Ridh mwacheni ajaribu naye bahati yake katika siasa. Nadhani kuna wanachokpiata hapo ambapo sisi wengine hatuoni mpaka Mwalimu mwenyewe alishasema Ikulu sio mahali pa kukimbilia akiwa na maana hata siasa yenyewe.
 
Nyambala,
Nimekusoma,
Issue ya huyu kijana sasa inageuka kuwa obsession, hata akikohoa ataandikwa au kuulizwa kwa nini amekohoa.
Tofauti ya Riz na Makongoro au Ipi (RIP), ni wao wali bid wakati baba was out of power, huyu kijana baba ndio yuko in power na yeye ana power yake binafsi kupitia UV-CCM na kuzidi kuonekana tishio kuwa atabebwa na baba wakati ukweli ni kuwa apaishwa tuu na umaarufu wake kujumlisha umashuhiri wa baba kiasi hata kupelekea Mzee Mwanakijiji kuingia kwenye this low discussion.
Turudini kwenye maslahi ya Taifa.
.
Baba yake Ridhiwani yuko madarakani siku nyingi na hatukuwahi kumsikia ,sasa baada ya baba yake kuwa Raisi ndio kula kona twamsikia,kwa maana nyingine Ridhwani anatumia ukubwa wa baba yake kama mbeleko ya kuelekea juu,sio siri hapo nyuma Ridhwani alikuwa anajulikanika tu pale Rose Garden na hakuwa na sauti yoyote ,leo hii ukitaka ukione cha moto (kwa walio kwenye chama tawala )basi hitilifiana na Ridhiwani & Co na kwa taarifa zenu Ridhiwani yeye binafsi hana ushawishi wowote ,bali ni nguvu za Baba yake ndio zinampa kibri ya yote hayo anayoyafanya,na kama anaweza basi asubiri baba yake atoke madarakani ndio naye aanze kuomba uongozi na hapo sasa tutaona fair play ipo.
 
Mi naona huyu jamaa Ridh mnamwonea sana katika kumjadili namna hii. Kwa nini asijadiliwe kwa matendo yake? Kwa nini baba yake? Baba yake amewalazimisha watu kumpigia kura? Je Ridh hana sifa ya kazi anyoifanya? Mwacheni kijana wa watu, watanzania sio wajinga sana wanjua kuchagua mbivu na mbichi
 
Huko nyuma niliwahi kubashiri kuwa Ridhiwani atapewa Ubunge wa Chalinze huko kwao na mbunge wa sasa Maneno atapewa kazi ya kuwa DC Mkuranga!!!
 
Huko nyuma niliwahi kubashiri kuwa Ridhiwani atapewa Ubunge wa Chalinze huko kwao na mbunge wa sasa Maneno atapewa kazi ya kuwa DC Mkuranga!!!


JF kiboko # 1, haya mambo ya jikoni mnayajuaje? Bulesi umelenga 99.999% kwani ndivyo inavyopangwa kwa Chalinze kwani yule mbunge wa sasa (R. Maneno) ilikuwa ang'oke uchaguzi wa 2005, watu wa Chalinze walikuwa hawamtaki kabisa mpaka mkulu akapiga kambi kumbeba ili upinzani usibebe jimbo, kwa vile jamaa ni kiwete na vuvuzela wa kisiasa jimboni kwake basi safari hii naona kunauwezekano mkubwa wakumtosa kwani ni bora mkulu atumie misuli kwa kumuingiza mwanae na yeye kumpatia pole ya U-DC hata usukumani kule akataniane na watani zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom