Elections 2010 Atagombea wapi?

Ndiba,

Sitaki kuamini the prezidaa can do such a thing!!Lol!!:whistle:

... if a barmaid is currently Minister of State, meaning that FYATU chairwoman of Wanawake, just for starters, whatelse CHA AJABU.
Alerted is what we ought to be as we aint seen nothing yet (quoting Ronald Reagan). IS ON TRACK.
 
huyu kijana kaingia kwa moto kwenye siasa akifuata staili ya baba yake ya makundi na mitandao. Sizani kama atadumu ninachokiona mbele ni wingu zito baada ya baba yake kuondoka. Kwa sasa anaweza kupewa chuuo chochote anachotaka kwa sasabu hakuna wa kumzuia.

mkuu umenena, this young fela anaweza dhani yupo kwenye mstari kwa sababu he gets whatever he wants, but believe me baada ya father wake mzee wa visasi kumaliza muda wake dogo atafilisika mbaya..na hivi watu hawamzimikii father wake sema bongo unafiki so wanakuwa wanamdeku tuu akishaachia ofisi tuu wee utaniambia..mm siku zote namcheki namuacha cuz' i know he aint going far unless, aachane kabisa na njia alizopitia father ake ingawa namuona yuko mule mule, makundi, visasi n.k..
 
.
Ulimbo tuweke na mipaka basi ili isije onekana ni chuki binafsi, uongozi haurithishwi, ni kipaji na maandalizi, grooming. Hao vijana wanauwezo wao binafsi ndio maana wanafuata nyayo za wazazi wao. Issue ya uwezo wa uongozi ndio msingi na sio ni mtoto wa nani. Mimi binafsi nawakubali vijana wote wenye uwezo na kuamua kutangaza nia, hata kama majina yao ya ubini ni mtaji.

Namkubali sana huyu kijana Nape, amesimama independently kuhesabiwa na sio kwa mgongo wa baba.
Kuna issue ya kuwa na kipaji cha uongozi, kijana alikuwa kiongozi pale UDSM, wakati huo baba hajaingia Magogoni, kama ana interest, na una uwezo, kwanini asigombee?!. Yaani apoteze haki yake ya kuchagua ama kuchaguliwa eti kwa sababu tuu baba ni fulani?.

Mbona Vita yuko mjengoni?, nenda Riz nenda Janu pia nenda, Nape nae aende, kama Fred ana interest pia aingie, William pia aingie, Kina Steve na Niko pia kama wana interest nao waacheni waingie. Tuwahukumu hawa vijana with their own interests na sio kutokana na majina yao ya ubini.

Kama ni kweli, kijana ndio sterling kule UV-CCM, huu ni uthibitisho tosha kuwa ana uwezo mkubwa kwenye medani za tactics na ndizo zinazotumika kishinda vita.

:A S-rose::A S 103::A S-rose:
 
Isee ur rite, yule mama ni one big mess of this government, mi nadhani ni zaidi ya barmaid, fyatuuu, lakini ndo minister eti..bongo bwana, acheni mr. Tu awatukane live, watu washachoka, nalaumu population ya vijana ambao we on the same track, wala hatutaki mabadiliko, tutapiga kelele hapa weee mwisho wa siku we get back home, pata bia, kula kitimoto (kwa wakristu), life goes on..lets change guys..
 
.
Ulimbo, tuweke na mipaka basi ili isije onekana ni chuki binafsi dhidi ya watoto wa viongozi. Uongozi haurithishwi, ni ama kipaji mtu anazaliwa nacho (born leader) kama kina Nyerere au na maandalizi, groomed leaders (man made) kama kina JK .

Hao vijana wanauwezo wao binafsi waliozaliwa nao, ndio maana wanafuata nyayo za wazazi wao. Issue iwe ni uwezo wa uongozi ndio uwe msingi wa mjadala na sio ni mtoto wa nani. Mimi binafsi nawakubali baadhi ya vijana wote wenye uwezo na kuamua kutangaza nia, hata kama majina yao ya ubini ni mtaji.

Kwa mfano, binafsi namkubali sana huyu kijana Nape, amesimama independently kuhesabiwa na sio kwa mgongo wa baba, japo katika harakati za Ubungo, nina side na JJ.Myika.

Kuna issue ya kuwa na kipaji cha uongozi, kijana Riz alikuwa kiongozi pale UDSM, wakati huo baba hajaingia Magogoni, kama ana interest, na ana uwezo, kwanini asigombee?!. Yaani apoteze haki yake ya kuchagua ama kuchaguliwa eti kwa sababu tuu baba ni fulani?. No way!,

Mbona Vita yuko mjengoni?, nenda Riz nenda Janu pia nenda, Nape nae aende, kama Fred ana interest pia aingie, William pia aingie, Kina Steve na Niko pia kama wana interest nao waacheni waingie. Tuwahukumu hawa vijana with their own merits na sio kutokana na majina yao ya ubini.

Mkuu Pasco naona unachemka tu...Babaako akiwa Mkulima sio lazima na wewe uwe mkulima,na haina maana kumuandaa ridhiwan et coz babaake ni rais..kama ana kipaj kitaibuka tu chenyewe (kama angekuwa nacho kingekuwa tayar kimeonekana)
 
This topic...I feel like throwing up. Ile kuona kuwa watu humu wana-contemplate hii possibility (siwalaumu, hawana kosa) makes me sick! Really sick....
 
Anaweza kupewa hata ubunge wa kuteuliwa. Hakutakuwa na cha kushangaza Mkjj, kwani huoni watoto wa waheshimiwa wote wamejazana CCM kama vile hakuna sehemu nyingine ambayo wanaweza kufanya kazi? Kimeshakuwa chama cha kifalme hicho ukilinganisha na miaka iliyopita kilipokuwa chama cha wakulima na wafanyakazi, kama huna jina kubwa la kiheshimiwa basi we URIE TU!
 
Sitashangaa siku ikitokea kwani Tz ni nchi ya vituko, na wa Tz watakuwa wako kimya tu bila kuhoji
 
Jamani JK is not that crazy!.
Ningekuwa mshauri wa first family, ningemshauuri kijana akapige LL.M Havard au Yale, akirudi akatingishe kidogo mahakamani kujenga jina kitaaluma, 2015 aingie ulingoni na unaibu, 2020 Waziri kamili, 2025 atakuwa ameshaiva kiasi na kubisha hodi kuingia sebuleni.

Lazima tufike mahali tuanze kukubali, kuna baadhi ya familia nyota ya siasa na uongozi, zinawang'aria kama kina Kenedys, Bush etc, hapo Kenya kuna kina Kenyata na Odinga, Tanzania tulikuwa na kina Nyerere na Kawawa, enzi zao ndio hizo zinayoyoma na nyota mpya ya kina JK ndiyo inayong'ara kwa sasa.

Pasco na wewe bwana, Nani atampa admission ya Yale/Havard???????
 
Mwanakijiji

You are too fast..Yes even January atapata unaibu waziri katika wizara Nyeti..Yes we Know..Nadhani Ridhwani atateuliwa,kugombea ni kumpa kazi kubwa sana

Ni wazi binadamu wote huwa tunafanya makosa...but if JK appoints hawa watoto zao ili kutimiza azma ya kuanza kuingiza vijana kwenye uongozi kama alivyosema, then he will be making fatal error in judgment. Those kind of mistakes normally cost a fortune in the real world. I dont think he would be ready to blindfold himself and take that rough road...it will mean that a person has decided to be crazy
 
Kazi bado ipo mkuu. Ikiwa ameweza kumchagua mwanae kuwa kiongozi kwenye msafara wa kukusanya orodha ya wadhamini wake atashindwa ktk hilo? Wala hujakosea mkuu,hilo linawezekana na hatuna uwezo wa kuliulizia. Tusubiri tuone.
 
Japo JK is not genius, he is not this cracy to do such a thing!. Anaweza kuwateuwa watoto wa rafiki zake kama alivyofanya kwa yule kijana, lakini hawezi kumteua mwanaye mwenyewe.

Ila kija, ana uhuru wa kugombea na kuchaguliwa kama walivyo Watanzania wengine, ila JK hawezi kumteau katika wadhifa wowote, not while on power, bali anachoweza kufanya JK ni kumkabidhi kwa Membe ili kwenye awamu ijayo ndipo aukwae na kuendelea kupanda juu, ndivyo alivyofanya Mwinyi, baada ya kuondoka, kijana akaingia, na ndivyo atakavyofanya Karume, Ali atapewa uwaziri fulani, na ndivyo atakavyofanya JK, kumkabidhi kwenye mikono salama.

Kama ameweza kumteua mwanae kuwa mwenyekiti wa kumtembezea form ya kutafuta wadhamini, atashindwa nini kumteua kuwa mbunge na waziri wa wizara fulani? Unabisha kitu ambacho tayari kinaonekana? Kwa JK ugenius au ucrazy hauapply. Yeye yupo unique. Mambo mengi anayafanya anavyojua mwenyewe. Ni completely unpredictable.:mmph:
 
Nadhani Ridhwani kuteuliwa kwa viti maalum hata JK mwenyewe ataona aibu. ila kusema CCM itamzawadia jimbo hilo linaweza kwa zaidi ya %80. Na probability ya mbunge kuchaguliwa akiwa CCM ni kubwa ndio hivyo.

Kinachouma hawa jamaa hawajui kwa nini Julius nyerere aliua tawala za kifalme. Then wao wanzirudish kwa style nyingine. Bora tawala kifalme za kikoo zirudi kuliko ufamle unaoanza kuota mizizi kwenye serikali.

Hivi Nyerere hakuwa na uwezo wa kuwajenga wanae kisiasa? Kwanini baba asimwambie mtoto subiri nikae pembeni na wewe uanze kujijenga
 
Ila Mwanakijiji
naona bora kama unaibu Muheshimiwa JK akamuiga mseven ampe mama tena awe uwaziri kabisa. labda inaweza kupunguza kamzigo kiduchu kuwa taifa gharama za ufirst lady. maana hata protocol viongozi wengine wanasahau bora awe waziri .

unaweza kushangaa ziara/agizo/ tamko/ la mama Jk kuhus issue fulani ya wanawake na watoto linapewa uzito /covarage kubwa zaidi kuloko tamko la waziri wa Jinsia.

Mengineyo Hivi wenzagu na nyie mnapata tatizo kufanya editing za post au ni mimi peke yangu. Mod jaribuni kungali hii kiti. Saving an Edited post ina tatizo
 
.
Ulimbo, tuweke na mipaka basi ili isije onekana ni chuki binafsi dhidi ya watoto wa viongozi. Uongozi haurithishwi, ni ama kipaji mtu anazaliwa nacho (born leader) kama kina Nyerere au na maandalizi, groomed leaders (man made) kama kina JK .

Hao vijana wanauwezo wao binafsi waliozaliwa nao, ndio maana wanafuata nyayo za wazazi wao. Issue iwe ni uwezo wa uongozi ndio uwe msingi wa mjadala na sio ni mtoto wa nani. Mimi binafsi nawakubali baadhi ya vijana wote wenye uwezo na kuamua kutangaza nia, hata kama majina yao ya ubini ni mtaji.

Kwa mfano, binafsi namkubali sana huyu kijana Nape, amesimama independently kuhesabiwa na sio kwa mgongo wa baba, japo katika harakati za Ubungo, nina side na JJ.Myika.

Kuna issue ya kuwa na kipaji cha uongozi, kijana Riz alikuwa kiongozi pale UDSM, wakati huo baba hajaingia Magogoni, kama ana interest, na ana uwezo, kwanini asigombee?!. Yaani apoteze haki yake ya kuchagua ama kuchaguliwa eti kwa sababu tuu baba ni fulani?. No way!,

Mbona Vita yuko mjengoni?, nenda Riz nenda Janu pia nenda, Nape nae aende, kama Fred ana interest pia aingie, William pia aingie, Kina Steve na Niko pia kama wana interest nao waacheni waingie. Tuwahukumu hawa vijana with their own merits na sio kutokana na majina yao ya ubini.

Mkuu some points to ponder!

1. Mbona Makongoro Nyerere alipogombea ubunge jimbo la Arusha mjini kwa tkt ya NCCR MAGEUZIhakuna aliyekuwa akimuhusisha na baba yake?

2. Mbona Ipyana Malecela alipotaka kugombea uenyekiti wa UVCCM hakuhusishwa na baba yake?

Well kwa mifano hiyo miwili inaonyesha kwa hawa vijana kuna mienendo tofauti inayooenyesha they are not standing by themselves. And people can see that na ndiyo maana wanaongea!

3. Kwamba Riz alikuwa kiongozi UDSM is just ridiculous, maana uongozi wa pale UDSM especially uwaziri ambao hata mimi niliwahi kuwa nao ni cheo cha kupewa na mara nyingi haiangalii uwezo. It is just mahusiano yako na Rais au Vice- pres aliyechaguliwa. No vetting, no backgoundchecks and no clear qualifications. You would have made a point kama ungetuambia alikuwa kiongozi wa nini na lifanya nini different na waliomtangulia otherwise it is just putting yourself in the tank of these youngmen who have no known accomplishements working for the society.

4. Just a reminder, hii ni mara ya kwanza kwa historia ya Tanzania ambapo we have a president na familia yake bize kuusaka uraisi kwa awamu nyingine.
 
Japo JK is not genius, he is not this cracy to do such a thing!. Anaweza kuwateuwa watoto wa rafiki zake kama alivyofanya kwa yule kijana, lakini hawezi kumteua mwanaye mwenyewe.

Ila kija, ana uhuru wa kugombea na kuchaguliwa kama walivyo Watanzania wengine, ila JK hawezi kumteau katika wadhifa wowote, not while on power, bali anachoweza kufanya JK ni kumkabidhi kwa Membe ili kwenye awamu ijayo ndipo aukwae na kuendelea kupanda juu, ndivyo alivyofanya Mwinyi, baada ya kuondoka, kijana akaingia, na ndivyo atakavyofanya Karume, Ali atapewa uwaziri fulani, na ndivyo atakavyofanya JK, kumkabidhi kwenye mikono salama.

Mkuu Pasco,

Hapo kwenye mkolezo na msisitizo wa underlined words ... ina maana huyo mheshimiwa ndiyo anaandaliwa kuwa mkuu wa kaya wa awamu ya 5?
 
MWKJJ, kwa huyu muungwana sitaona ajabu akiteuliwa, maana sababu itaku anajua atakompata Ridhiwani. RAISI raisi (cheap President!!). Angesubiri muda wake kwanza ndio huyu kijana aingie kwenye siasa.
 
Mzee mwenzangu Gembe, atagombea (somewhere in Pwani....i guess) ili apate legitimacy ya kupewa unaibu. Kuteuliwa itakuwa ni kubebwa kulikotukuka. Lakini ndiyo demokrasia ndani ya CCM.

Kwani ww mwanakijiji inakuuma sana akiukwaa unaibu waziri?Mbona mnapenda sana kujadili mambo ya watu badala ya mustakabali wa Taifa?Badilikeni jamani hii nchi ni ya wote wewe na mimi tunaruhusiwa kuwa viongozi na kuongozwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom