Astrojia ya mapenzi

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,835
Samahani sana:
Tumekuwa tukisikia mara nyingi kuhusu mahusino mbali mbali. Kunawazo nimelifanya la astrojia ambalo lina kueleza mahusiano yako na mpenzi wako yakoje.
Basi vinjari .

Kumbuka haya ni mawazo yango ukipenda kuamini ni juu yako
 
ni kiini macho tu hakuna wa kukutabiria safari yako.....................inabidi njia uikwatue mwenyewe na utamu wake upo katika kutojua unakokwenda kukoje.................ukijua kabla ya safari utamu wa safari ya mahaba utaukosa........
 
Back
Top Bottom