Mzozo wa Mizozo
JF-Expert Member
- May 26, 2008
- 426
- 12
Kwanini tumshukuru kwa lipi hasa? kwani kuna umuhimu gani wa wewe na mimi kuwepo hapa? nini kingebadilika kama wewe na mimi tusingezaliwa au watu wasingekuwepo? hakuna faida yeyote ya kuwepo hapa kwa hiyo swala la kutoa shukrani kwa mwanamke kwa kunizaa halina msingi wewote kwa ni sikuomba kuzaliwa naye na nilizaliwa bila idhaa yangu na sioni sababu ya kushukuru kwa hilo.....kwani bila wewe na mimi dunia isingeangamia na hakuna ambacho kingebadilika...........
Na Tekinolojia inabadilika na hata wanaume wameanza kubeba mimba kwa hiyo baada ya muda nadhani itawa poa tu!!!
Hahaha.