Assuming the world without women!

Manda

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
2,073
304
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?
 
Mwanamke ana umuhimu. Dunia bila mwanamke wewe na mimi tusingekuwepo. Kwakuwa tuko na tunafikria kuhusu mwanamke ni wazi kuwa inabidi tumshukuru mwanamke na sivinginevyo.
 
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?

Kwa mantiki hiyohiyo jiulize pia dunia bila wanaume ingekuwaje?
 
Kwa mantiki hiyohiyo jiulize pia dunia bila wanaume ingekuwaje?

Wakati flani swali hujibiwa na swali, lakini katika hili naomba swali lijibiwe na jibu, natambua umhimu wa swali lako katika kujibu swali langu, ni changamoto tuu ya ubongo wetu, lets assume kwamba ndo imekuwa kama hivi, dunia bila akina mama!,tasteless?mhhh!!?
 
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?

Kwa uelewa wangu existance ya wanaume duniani inategemea sana pia uwepo wa wanawake. Ila kwa kuwa pia sina uhakika wewe ni mwanaume/mwanamke i think its best uanze kujiuliza je dunia bila kiumbe wa jinsia yako ingekuwaje??? Kama utapata jibu then nafikiri hii utaungana na mimi kwamba dunia bila mwanamke itakuwa ni Dunia isiyo na Jinsia kwa hiyo na wanaume pia hawatakuwepo ila watakuwepo HUMAN BEINGS wa aina moja kama ROBOTS... (sorry sio Invisible lakini)!!

Hope it might make sense a bit!!
 
Kuna viumbe ambao wanazaliana kwa kugawanyika au kukatika sehemu za miili (nadhani inaitwa budding). Kwa wanaume wangezaliana kwa kukatika au kugawanyika!

Anyway, kwa kuwa naona ishu inayotahitajika hapa si kuhusu jinsi ya kuzaliana, then wanawake wana taste yao muhimu sana under the sun. Ever listened to 'STRENGHT OF WOMAN' by Shaggy? Maneno kama 'so amazing how this world was made, I wonder if god is a woman....' yana maana nzuri sana kwa umuhimu wa wanawake.
 
Assumptions are only allowed in natural science & Mathematics!!!
Mi nimeshindwa kuassume mkuu....
 
Dunia iliwahi utokuwa na mwanamke!lakini kutokana na umuhimu wa mwanamke!Adam akapewa usingizi mzito na mwanamke akaumbwa!dunia ingekuwa haijitoshelezi bila uwepo wa mwanamke!
 
Linaweza kuwa swali ambalo wengi wetu hatujawai jiuliza, au kama tumekwishawai jiuliza tukakosa jibu, naomba niliwasilishe kwenu leo; Hebu fikiria Dunia bila wanawake ingekuaje?

Nooooo! I would not like to live in the World without women. Life will be very boring...:(.
 
sipendi ku-assume maana dunia isingekuwa na watu zaidi ya ADAM PEKE YAKE na angekuwa mpweke sana.
 
Re: Assuming the world without women!

...(ashakum si matusi) hivi unajua maana ya Ass-u-me (?), ndio maana naona ugumu kuchangia...

pete na kidole!
 
Nabii Adam alihangaika miaka 40 kumtafuta Bi Hawa. Sijui wewe ungefanya nini kumpata kama Bi Hawa?
 
Kuna viumbe ambao wanazaliana kwa kugawanyika au kukatika sehemu za miili (nadhani inaitwa budding). Kwa wanaume wangezaliana kwa kukatika au kugawanyika!

Anyway, kwa kuwa naona ishu inayotahitajika hapa si kuhusu jinsi ya kuzaliana, then wanawake wana taste yao muhimu sana under the sun. Ever listened to 'STRENGHT OF WOMAN' by Shaggy? Maneno kama 'so amazing how this world was made, I wonder if god is a woman....' yana maana nzuri sana kwa umuhimu wa wanawake.

Kwa wenye imani/dini zao... tunafundishwa kwamba..mwanaume aliumbwa kwanza na akawa peke yake ..akajiona mpweke..mnyonge..hakuwa na raha... so bila wanawake I guess hali itarudi kama pale mwanzo.....meaningless!
 
Naomba nifunge mjadala huu kwa kuangalia maneno ya vitabu vitakaifu. Kwa jinsi vilivyoandikwa vitabu vya Genesis 2: 20 - 25:

Ge:2:20: And Adam gave names to all cattle, and to the fowl of the air, and to every beast of the field; but for Adam there was not found an help meet for him.
2:21: And the LORD God caused a deep sleep to fall upon Adam and he slept: and he took one of his ribs, and closed up the flesh instead thereof;
2:22: And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man.
2:23: And Adam said, This is now bone of my bones, and flesh of my flesh: she shall be called Woman, because she was taken out of Man.
2:24: Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.
2:25: And they were both naked, the man and his wife, and were not ashamed.

Mtazamo wangu ni kwamba bila Mwana wa Adamu sidhani kama kungekuwa na Mwanamke. Na kutokana na kwamba wanadamu twapenda ishi katika maovu na dhambi na mwanamke ndo aliyesababisha uwepo wa dhambi duniani tunabaki kujiuliza Ingekuwaje dunia hii bila wanawake, dunia bila dhambi!!!
 
Naomba nifunge mjadala huu kwa kuangalia maneno ya vitabu vitakaifu. Kwa jinsi vilivyoandikwa vitabu vya Genesis 2: 20 - 25:

Mtazamo wangu ni kwamba bila Mwana wa Adamu sidhani kama kungekuwa na Mwanamke. Na kutokana na kwamba wanadamu twapenda ishi katika maovu na dhambi na mwanamke ndo aliyesababisha uwepo wa dhambi duniani tunabaki kujiuliza Ingekuwaje dunia hii bila wanawake, dunia bila dhambi!!!
Safi sana kwa mtazamo wako mzuri kabisa!lakini hii amri ya kutokula tunda la mti wa katikati walipewa wote yaani mwanamke na mwanamme!sawa eva alidanganywa akachuma lille tunda akala akampa na mumewe nae akala!
kwa nini Adam hakukataa kulipokea hilo tunda hali akijua ni dhambi?Hapa mimi naona wote walisababisha dhambi!
Mwanamke ni muhimu kumbuka Adam alipitishiwa wanyama wa kila aina mbele ya macho yake lakini hakuona wa kufanana nae!na ndipo MUNGU akamtwaa Eva kutoka katika ubavu wake!wanawake ni muhimu sana la sivyo basi Adamu angeweza kuchagua kati ya wale wanyama aliopitishiwa!
 
Woman has man in it
Female has male in it
She has he in it
Madam has Adam in it.

World without women would be empty and dull.
 
Mwanamke ana umuhimu. Dunia bila mwanamke wewe na mimi tusingekuwepo. Kwakuwa tuko na tunafikria kuhusu mwanamke ni wazi kuwa inabidi tumshukuru mwanamke na sivinginevyo.

Kwanini tumshukuru kwa lipi hasa? kwani kuna umuhimu gani wa wewe na mimi kuwepo hapa? nini kingebadilika kama wewe na mimi tusingezaliwa au watu wasingekuwepo? hakuna faida yeyote ya kuwepo hapa kwa hiyo swala la kutoa shukrani kwa mwanamke kwa kunizaa halina msingi wewote kwa ni sikuomba kuzaliwa naye na nilizaliwa bila idhaa yangu na sioni sababu ya kushukuru kwa hilo.....kwani bila wewe na mimi dunia isingeangamia na hakuna ambacho kingebadilika...........
 
Back
Top Bottom