Assume we ndio traffic, ungefanya nini

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,730
Mvuta bangi mmoja alifanya ajali akaua watu 25, Kufika polisi Traffic akamuuliza ilikuaje? jamaa akasema alikuwa spidi nyingi tu ghafla akaona kundi la watu kushoto na mtu mmoja kulia na yeye hana breki, akamuuliza traffic:" wewe ungefanyaje? Traffic akasema ningemgonga yule mmoja kusave wengi. Jamaa akasema:"Hivyo ndivyo ilivyotokea, lakini yule mpumbavu alikimbia kule kwa wale wengi na mimi nikamfuata kulekule kusave wengi ndio nikauwa wote
 
Inamaana wote wanaofanya mambo yasiyotarajiwa ni wafuta bangi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom