Assume ndo wewe!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jamaa wawili wakitoka matembezini saa 6 usiku waliamua kutumia njia ya mkato kupitia makaburini kurudi makwao.Wakiwa katikati ya graveyard mara wakasikia mlio kama mtu anagonga kitu,tap-tap,jamaa wakapata woga wasijue la kufanya.Mara wakamkuta babu mmoja akiwa na nyundo na chisel(chizo) akichonga maandishi kwenye kaburi.Mmoja wao akasema,"aah! kumbe ni wewe babu,tulifikiri ni mzimu,mbona unafanya kazi usiku namna hii?". Babu akajibu,"washenzi hawa,walikosea spelling za jina langu!".
 
sijaelewa huyo babu alikuwa ni nani? huenda jina la marehemu lilipatiwa isipokuwa hilo la ubini ndo walikosea
kama mimi sikimbii, utakimbia wapi wakati jina la ubini ndo limekosewa?
 
sijaelewa huyo babu alikuwa ni nani? huenda jina la marehemu lilipatiwa isipokuwa hilo la ubini ndo walikosea<br />
kama mimi sikimbii, utakimbia wapi wakati jina la ubini ndo limekosewa?
<br />
<br />
Okay,endelea kusubiri!
 
mimi japo ni driller ila hapo babu asingejua kua naweza kumsaidia yani hiyo kasi ange blow mwenyewe
 
sijaelewa huyo babu alikuwa ni nani? huenda jina la marehemu lilipatiwa isipokuwa hilo la ubini ndo walikosea
kama mimi sikimbii, utakimbia wapi wakati jina la ubini ndo limekosewa?

Hata kama lakini usiku??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom