ASSISTANCE: Condomu kubaki ndani ya uke!

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Heri ya pasaka!
naombeni ushauri kama ikitokea wakati unafanya mapenzi, condomu ikabaki ndani ya uke baada ya kuchelewa kuitoa!!
 
Kuna mtu iliwahi kubaki akaambiwa inatakiwa atolewe hadi kizazi.
 
jaribu huduma ya kwanza, chuchumaa chini then fanya kama unapush, itatoka. Me ishanitokeaga mara kibao
 
una niwazia mm kuhusu ww!!! sio,lazima m2 akiomba ushauri iwe ndio imemtokea, umekurupuka ndugu!
 
hata cjui imetokea nn, ila nili usoma na nili uwasilisha ndugu.
 
duh! Mimi naona kondomu kubaki ukeni inatokana na uume kutokusimama vizuri au kusinyaa ghafla wakati tendo likiendelea, kama walivyisema wadau incase ikitokea chuchumaa halafu push kwa nje
 
Pole ushauri mzuri umetolewa tafadhali fuata haraka kunusuru maisha mkuu.
 
Na washukuru saaana jf kwa ushauri wenu mzuri...soon hatua stahiki zimesha fuatwa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom