Assault on Dr. Ulimboka: Who Did It?

I cant stratch my mind to find out who did this on Ulimboka. My friends if you want to know just look back for similah incidences that happened and no one has been arrested, only the gvt can tell the truth...
 
Mwisho hayo ndiyo ya KIkwete (Dhaifu); kwa nini asababishe tafsiri tofauti ya maneno yake kati yako na mimi labda na wengine?

Hayo yanayoitwa maneno ya Mungu basi kila kundi lina tafsiri yake, itakuwa maneno ya Kikwete!


Sina sababu kutaka kujua kwa nini umeelewa hivyo, na ingekuwa vizuri kama ungeniuliza nikupe kina cha uelewa wangu huo.

And why should I be interested?
 
Hili suala binafsi bado sioni utata wake upo wapi!

“Walinipiga mateke ya mbavuni, wakati mwingine walitumia vitako vya bunduki, kila nilipokuwa najaribu kuangalia ninapokwenda nilishindwa,” alisimulia Dk Ulimboka.

Alisema kuwa watu hao walimpeleka katika nyumba moja ambayo hakujua iko sehemu gani ambapo walimshusha na kuanza kumshambulia kwa mateke mfululizo kila sehemu ya mwili.
Wakati huo, wote walimshinikiza awaambie nani yupo nyuma ya mgomo wa madaktari.

“Tangu saa sita usiku mpaka saa 9:00 alfajiri walikuwa wananipiga tu, kuna wakati nilijaribu kukimbia wakapiga risasi juu nikasimama na sikuweza kukimbia tena,” alisema Dk Ulimboka
 
Tatizo kuna watu wanajifanya wao ndio mahakimu, wao ndio wapelezi wameshafunga fikra zao kwenye muelekeo mmoja.

Fungua akili yako, kuwa open minded halafu liangalie hili swala kutoka kwenye angle zote na possibilities zote.

Kuna wale wenzangu na mie wanaopenda kulaumu serikali hata watoto wao wakitega kwenda shule, mwisho wa siku serikali inaweza isiwe na hatia lakini bado watasema uchunguzi umechakachuliwa, utafikiri wamerogwa.

Siku zote najua wewe ni DHAIFU ila sikujua kama ni DHAIFU SANA!
 
Is there any way or under what circumstances he would have said otherwise?

I don't think so..................lakini busara ilikuwa kuunda tume huru ili baada ya uchunguzi kukamilika kama kuitoa serikali kwenye tuhuma au lah, lakini kwa kauli tu ya Kikwete ku insinuate kwamba maybe ni watu wa Serikali lakini si maagizo ya Serikali inazidi ku cast doubts na inaipa nguvu zaidi dhana ya Serikali kuhusika kwakuwa kuna acknowledgement toka kwa Rais mwenyewe
 
Tatizo kuna watu wanajifanya wao ndio mahakimu, wao ndio wapelezi wameshafunga fikra zao kwenye muelekeo mmoja.

Fungua akili yako, kuwa open minded halafu liangalie hili swala kutoka kwenye angle zote na possibilities zote.

Kuna wale wenzangu na mie wanaopenda kulaumu serikali hata watoto wao wakitega kwenda shule, mwisho wa siku serikali inaweza isiwe na hatia lakini bado watasema uchunguzi umechakachuliwa, utafikiri wamerogwa.
Ww ndio ufungue akili yako..system ya TZ inavofanya kazi tunaijua, mazingira ya matukio ya kihalifu ya TZ tunayajua (kama alivoelezea MM). To hell with your pathetic fallacy.
The prime suspect in this incidence is the government..period!
 
Ww ndio ufungue akili yako..system ya TZ inavofanya kazi tunaijua, mazingira ya matukio ya kihalifu ya TZ tunayajua (kama alivoelezea MM). To hell with your pathetic fallacy.
The prime suspect in this incidence is the government..period!

Then what is your move sir?
 
b. [FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]Where is the car that came to the rescue? (in the middle of the night...)? was one of the agents had a changed heart and decided to spare Ulimboka's life (very probable); did he rush the others to give Ulimboka a chance to survive!.[/FONT]


[FONT=Verdana, Geneva, sans-serif]Really now, that's new information to me but either way Mr President already asserted that the Government is not involved[/FONT]
They were pro! look at the torturing! It's the government. Doctors' choice of a third party, Dr. Ulimboka, made the govern resort to such a plan. Dr.Ulimboka is not a civil servant, disciplinary measures would probably not apply. In other words now that Dr. Ulimboka is no longer standing in their way it's easier for the government to deal with its employs. It's only a matter of time before we see doctors ending the strike, they've got mouths to feed, remember?

The flip side of this plan and considering that it was partially executed, I'm banking on Dr. Ulimboka. We wish him a speedy recovery so he can come and give testimony to the citizens of how the government is abusing its power. Police/TISS has been changed to a tool of abduction and murdering people instead of ensuring their safety
 
Suspect bado Mzee Mwanakijiji, wanasiasa waliahidi nchi isitawalike they will do as much as they can do as well. Very unfortunately, watu wengi wamedhurika na washukiwa hawakamatwi sema tu bongo watu wana matabaka sana lakini sio rasmi kuna touchable na untouchable, this time imemkuta kiongozi mbona na makala zitaandikwa kila kukicha, kwa mfano kuna dada alichinjwa na mumewe Tegeta na habari kutoka katika vyombo vya habari lakini Muuaji amefahamika na mpaka leo hajakamatwa wananchi wananung'unika chinichini. Hakuna cha haki za binadamu wala Tamwa walioenda hata kuuliza whats happened, wao wanataka media coverage tu waonekane katika luninga na kuvuta mkwanjwa wa wafadhili.

Jambo likigusa media au public interest ndio linaonekana muhimu, utakubaliana na mimi utendaji wa jeshi la polisi hauko makini kihivyo. Watu wanatekwa na kuumizwa yapo makundi ya watekaji yanafahamika kwa mfano manzese ni maarufu kwa kazi hiyo. Wahuni wakidhulumiana wanajua waende wapi kuchukua masela na wanakuchukua mbele ya public, kuchukuliwa mbele ya public pia sio hoja.

Kuna story ya magomeni jamaa alipigwa bastola katika traffic lights na taarifa za kijiweni mchizi alikuwa anauza madawa na wapakistan akawazingua wakamtema, jamaa akawachongea wakakamatwa mbezi beach. Kilichotokea jamaa akapigwa bastola ya mdomo katika mataa na jamaa waliokuwa katika pikipiki na wamesepa hadi leo hakuna lolote. Inasemekana jamaa wamekodiwa kutoka nje kwa kazi hiyo tu. My point jamaa wanaweza kodisha hata majangili kutoka nje watengeneza collable.

Kwa kuwa kuna wataalam wanachunguza bora tukawapa muda kuliko kuanza kucheza probability, manake hata JF siku hizo ingeweza kupata cruel kabla ya matukio ya namna hii sasa thinkers siku hizi wanachukua upande kabla ya kupata details na fact. Criminial Investigation (CI) wanasema each crime scene has its own evidence wataalam wageuze mawe yote majibu watapata.
Songambele nimekuwa nikifuatilia sana na kwa undani sana about CI za wenzetu katika nchi zilizoendelea, Songambele hata Tanzania hakuna crime investigation kabisa wao kazi nikuunda jopo tu ambalo je utakubaliana na mimi hata madactari wameshindwa kutoa sababu ya kifo cha kanumba ambapo under CI bases haitakiwa yule mdogo wake kanumba kupeta mtaani nakuwahi kumiliki kampuni ya kanumba unajua under CI Hata watu kama Ray hatakiwa kuwa mtaani,

Unajua kuwa under CI hata alikiba aliyempeleka lulu BEACH HAPASWI KUWA MTAAN because they all lie under the police line of investigation MKUU TZ WANGEKUWA WANAFANYA CI ISINGEKUWA KAZI KUMPATA ALIYEMTEKA AS U HAVE SAID each crime scene has its own evidence LAZIMA kama ni msangi ameMTEKAa ameacha evidence pale tu alipomshika yaani nilazima aache evidence kwenye mwili wa ulimboka kumshika tu wakati wanamtupa ,kitambaa walichomfunga evedence tosha mkuu.mimi hainingii akilini wangefanya DNA TEST tayari msangi is a first suspect.

Ila hatuko that advanced ,nimekuwa nikiangalia sana CI ,rafiki aliyekuwa nae ni firt suspect mawasilianO ya simu yake ni 1st evidence wacha bwana ,natamani wakoloni warudi tena tufungwe minyororo tuchapwe kweli akili zetu zikae sawa maana Tanzania tunaishi ndani ya majeneza ya CCM,NA HATUJUI KINACHOENDELEA.

USWAZI HUWA TUNASEMA KUJIKOSHA ISINGEFAA MKUU WA NCHI KUZUNGUMZIA HILI SUALA AMBALO LIKO UNDER POLICE LINE KWANINI NASEMA HIVI HATA KJ LIE UNDER THE POLICE LINE OF INVESTIGATION IS AMONG THE SUSPECT OF THE CRIME.
 
Mbona hujamaliza possibilities zote?

1. Vyama vya upinzani
Motive: Kuchonganisha serikali na raia. Ni dhahiri kuwa lawama zitavurumishwa kwa serikali

*Vyama vya upinzania viliwahi kutangaza kuwa nusu ya watu wa usalama wa taifa wanaripoti kwao [That was in 2010, by now 60%?!].

2. Kambi zenye mvutano ndani ya serikali [Mbio za kuwania uraisi?]
Kambi inayojua kuwa Kikwete na watu wake "wanawabania" wanaamua "liwalo na liwe," ili na wakose wote.
Motive: Kama ubaya, ubaya tu

* Kama hutaki Unaacha alitueleza hapa kuwa TISS inaendeshwa na kambi mbili hivi sasa [Aliziita za Lowasa na 'nduguze' na ya Kikwete na watuwe]

Mkuu Gaijin,
"possibility" yako ya kwanza ingewezekana tu kama ingetumia "possibility b" - Hired Professional Assassins - au "possibility d" za MMM. Bado maswali yanabaki palepale. Ile 40% ya TISS haiwezi kung'amua mpaka sasa? Kama kweli 60 ni kubwa kuliko 40 wanashindwa nini kumuondoa JK madarakani kwa namna nyingi tu rahisi zaidi ya kuwatumia madaktari na hata "kuwaua" kikatili namna ya Dr. Ulimboka?

"Possibility" yako ya pili ndio hiyohiyo ya "possibility d" ya MMM. Au?

Hebu tufikirie tena, another round..
 
Five days later no one has been arrested for criminal assault and attempted murder of Dr. Ulimboka Stephen. That for five days the Tanzania security and intelligence services have failed to arrest anyone involved in the bloody attack on Ulimboka baffles my mind. At the same time however, it tells more and in fact it validates the suspicion that whoever was involved must have been a professional killer! But who really did it and why? Well.. let take some possible suspects and their motives and see if they could have done it...MMM
Mkuu Mwanakijiji kama umesikiliza vizuri hotuba ya Mkulu wa Kaya, inaonekana Mkulu kachoka mbaya!!! Hii kazi ya Uraisi sio lelemama, mambo yamekuwa mengi huu ngomo wa madaktari umeongezea uzito wa mzigo wa kutawala!!!

Mhe Tundu Lisu alimwambia PM kuwa kama umefanya kila uwezalo kutatua maswala ya Madaktari umeshindwa si ni basi ujiudhuru???

Kama Mkulu ameshindwa kusolve issue hii ingawa ianonekana kubwa ya Dor's si basi wajiudhulu na team yake waachie nchi watu wenye uwezo KUTAWALA KUKUSANYA MAPATO YETU HATA YALIYOIBWA NA KUFICHWA NJEE YA NCHI????

Fedha zinazoesmwa kwani hazipo?? Mbona Uswiss wameweka zaidi ya USD$ 300= billion, fedha za EPA zimetumika vipi? Hizo Capacity charge za RICHMOND, SYMBION, AGRECO,SONGAS wanazilipa vipi fedha wanapata wapi?

Je trilion TATU za Gen Shimbo from SA zimeletwa lini mbona kimyaa ziko wapi au wameisha zificha wapi? Sasa kwa hali hiyo madaktari utawadanganya vipi kama watoto wadogo eti hatuna fedha si uongo huo?

Wabunge wakitaka posho na mishahara(above 10,000,000/=) mbona hakuna tume zinatoka tuu, au ni rushwa ili wapitishe badget ya serikali bila kupingwa kama ilivyo kwa sasa???

 
In swahili

Baada ya siku tano hakuna mtu amekamatwa kwa shambulio la jinai na kujaribu mauaji ya Dk Stephen Ulimboka. Kwamba kwa siku tano usalama wa Tanzania na huduma za akili wameshindwa kumkamata mtu yeyote kushiriki katika mashambulizi ya umwagaji damu juu ya Ulimboka kishinda mawazo yangu. Wakati huo huo, hata hivyo, anasema zaidi na kwa kweli ni validates tuhuma ili kila mtu alikuwa wanaohusika lazima kuwa na muuaji mtaalamu! Lakini ambao kwa kweli alifanya hivyo na kwa nini? Vizuri .. basi kuchukua baadhi ya watuhumiwa iwezekanavyo na nia zao na kuona kama wanaweza kuwa na jambo hilo...MMM

Nikiwaambia msitumie GOOGLE TRANSLATOR Hamsikii ! ulichabandika hapo juu ni lugha inayoongelewa kule MABWEPANDE na si kiswahili.
 
Jamani, Nashukuru kwa fursa kama hizi, Ni mgeni kwa eneo hili,nawasalimu walioanza miaka na wengine pia.
Nasumbuka sana na mifumo inayowaendesha watanzania.

Wanaishi kwa kupindua mambo miguu juu. Maisha haya yanasababishwa na tamaa za fedha. Binafsi naumizwa sana na wanaomwona Dr.Ulimboka kuwa eti ni shujaa!!!.Ushujaa gani hapo anaoutengeneza migongoni mwa wagonjwa na vifo vya watu tele mahospitalini.Hivi jamani demanding your rights on the expense of the pentients,! mgonjwa analia,anakosa tiba iliyo haki yake,anakufa hospitalini ili haki ya akina ulimboka itekelezwe.Kwangu huu ni wendawazimu.

Namuunga mkono JK-kajitahidi kuelezea umma. Ulimboka alisign mkataba wa kazi na yote anayo dai aliyaona mwanzo wa mkataba kwake. Wapo madaktari wengi ambao wanaojali maadili ya kazi zao,hawakuridhika na mshahara wa Ki Tz,dawa ni kuacha kazi na ndio mifumo ya wenzetu inavyo endesha maisha yao unaacha unaenda kutafuta sehemu inayo linganan na matakwa yako.sio kupita huku na huku na kuhamasisha wengine ili mgome.Huo ni uhalifu.

Ni kukiuka mkataba wa kazi.Hospitali ni ya serikali madawa ni ya serikali, vitanda ni mali ya serikali wagonjwa wanahaki yao kikatiba kutibiwa ipasavyo.

Nawashauri wote wanaomuunga mkono Ulimboka wafikiri upya, huyu ni hatari sana.bilashaka kwa upande wa pili nawalaumu sana waliochukua hatua mkononi kumpiga Ulimboka.Sina hakika kama madaktari wanaendesha mgomo huu chini ya chama chao kilicho sajiliwa au uhuni tu unafanywa.Kama ni chama basi wananchi wenyewe wanaweza kujiunga wakapatikana kumi kukishitaki chama hicho.kwa kuwakosesha haki yao ya kimsingi ya kutibiwa na kuishi ki -salama.

Nilifikiri haki ya ulimboka na wenzake ingedaiwa kati yao na serikali kwa njia nyingine, na sio Mgonjwa afe ili ulimboka alipwe haki zake. Munaonaje
jorni
 
Kikwete kasema kam ni Serikali inahusika yeye personaly hajamtuma mtu kufanya hivyo kwa hiyo inaonesha kuna mtu mwingine ndani ya serikali ila sio yeye Mwisho watataja majina kabisa
Mkulu anatakiwa kuacha usanii Si amkamate huyo mtuu na amchukulie hatua????
 
Back
Top Bottom