Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Kikwete kasema kam ni Serikali inahusika yeye personaly hajamtuma mtu kufanya hivyo kwa hiyo inaonesha kuna mtu mwingine ndani ya serikali ila sio yeye Mwisho watataja majina kabisa
anakwepa kuambiwa kujiuzuru baada ya ukweli kuwa wazi!