siku nyingiiiiiiiii chezeiya ODM weye?? ebo?Unayaweza eh? @ kingasti na charminglady vipi nao washasajiliwa na mzee mzima?
Kama unatoka na shem wako usitoke na hii makitu nlokununulia Dubai asee.... Nna wivu balaa!!
Asprin eh,nasikia Nyani Ngabu ndo korokoroni getini kwako? Ya kweli haya? Lizzy ndo kaniambia muda si mrefu.
Msalimie mkeo
Mama Ashrat mnafahamiana? Anakusalimu sana,anasema anajiandaa kuhamia kwenye kasr la asprin.