Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Neno lako ni amri kwangu mheshimiwa mwenyekiti....!! Waweza nipa mwongozo?
Neno lako ni amri kwangu mheshimiwa mwenyekiti....!! Waweza nipa mwongozo?
Neno lako ni amri kwangu mheshimiwa mwenyekiti....!! Waweza nipa mwongozo?
Hahahahah ushasahau leo nna mihadi na cacico kwenda kudansi kabla hatujaenda kudadavua malovee practically?Mwongozo wangu mtwae Kongosho, BADILI TABIA na cacico mje parokiani kwa ajili ya semina ya mambo ya u house
nimekuelewaje sasa?? na akiniPM tu naileta hapa hadharani lol! shemeji nimepata.
ssshhhh! usiseme kwa sauti, hawanistukia ujue
kuwa makini usijeishia mabwepande!
Kaizer,
Tui lake Samaki,
utie kunako supu wapi na wapi?
Sawa na kunywa Chai na Mlenda.
kazi kwenu na wageni, siye yetu macho! mzima weye my shem wa ukweeeee!Shemeji usimtishe mgeni wetu Catherine Jamani, ndo anajifunza ivo! kha!
ewaaa sasa hapo unakuwa umepata mkunaji wa bara, siye wa pwani wala tunajua tui tulitie wapi! hahahah
He! Umeipatamo wapi hii makitu hommie?
Nipe mji,
nikajifiche wapi?