Asprin, Kaizer et al!!!!!!!!!!!!

Tumia hela ikuzoee wewe! Yaani kata mayi kufashi ya kinshansa! Kama hela ya mawazo bora uache kabisa kunywa labda Mungu atakuona. Leo nikupe ofa?

Hiyo bluu true true true

Hiyo red umesomeka vyema...........
 
Ofa kati kati ya wiki siitako lol
Nina nidhamu na pombe siku za kazi sana.

:gossip:( am more into weed kuliko pombe)

Tumia hela ikuzoee wewe! Yaani kata mayi kufashi ya kinshansa! Kama hela ya mawazo bora uache kabisa kunywa labda Mungu atakuona. Leo nikupe ofa?
 
Ofa kati kati ya wiki siitako lol
Nina nidhamu na pombe siku za kazi sana.

:gossip:( am more into weed kuliko pombe)

Hehehe, bora ukatae manake ukirudisha change nikakuona bill yote utalipa wewe. Na mie nakunywa whisky, maji ya ilala naogopa kitambi.
 
He he he, ofa zina masharti yake
Huwa naziogopa sana
Hukawii kupewa ofa afu ukaambiwa uwe kuwadi, utakataa??

Hehehe, bora ukatae manake ukirudisha change nikakuona bill yote utalipa wewe. Na mie nakunywa whisky, maji ya ilala naogopa kitambi.
 
Mwanaume mubaya wewe tulikuwa wote halafu unaniuliza hapa mwone kwanza
Si nimekununulia maziwa asubuhi na supu nikakuachia kabla sijaenda kazini
Pole my wife
Najua nimefanya kosa kutokuamsha maana niliona hang over yako ni kubwa.
 
Ooohh My Hubby sikusoma vizuri nimekunywa tayari thanks kwa kunijali
 
Noted.....!with many thanks....

well filed for future use......!

yani apa mkuu ngaseemaa "shameeeshaa mshikiiii"......

haya sasa....endeeeee waarree..
 
Nivizuri kama utajitahidi kuacha kilevi kwasababu kina kupa hangover, dada au kaka mzuri ni yule anayeweza ku contro kutokulewa. Hufanya kazi kwa kujiamini. Kma kurefresh sio pombe ila fanya mazoezi
 
Asprin come this way ujibu hili swali
 
Dena Amsi kuna mtu naona anauliza uliza habari zako sijui ana interest gani na wewe. Hajui wewe ni muke ya mhe sana Mr Rocky
Ngoja nitafute namna ya kumpiga ban asipatikane kabisa
Hiyo mutu inatwa Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom