Asprin, Kaizer et al!!!!!!!!!!!!

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Habari zenu woooote...........

Asprin, Kaizer na group yenu nimefundishwa dawa ya hang over jana toka maeneo fulani..........

Ukiamka nazo chukua Maziwa mtindi + Fresh Apple katakata ndani yake kunywa kwa pamoja unakuwa freeeshh huna haja ya supu

Muwe na siku njema (Mie nimejaribu leo nikawa bomba mbaya)
 
Dawa ya moto ni moto! Ukiamka nalo unazimua nalo!!! Unapata nguvu mpya hari mpya na kasi mpya ya kufanya mambo yako!
 
DUU KWA BABU ANAPENDA CHUPA SANA KUMBE NA IKISHALEWA NDIO MAANA.....................................................................................................................................:eek2::baby::eek2:
 
Dawa ya maji ni maji na dawa ya moto ni moto dena amsi so kama una hang over unatoa lock fasta kabla hujaingia kazini then unatupia na ndizi mbivu, unaingia mzigoni hata harufu hakuna. Lakini ukitupia sijui maziwa lala huchelewi kudrive. (kuendesha)
 
Back
Top Bottom