Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Babu ODM, asante kwa kutambua uwepo wangu.
Mie tena, kongosho asali ya babu, ila ilikuwa famili matter.

BTW, umenichekesha sana, kumbe na wewe maneno hamna bora manamba? Dah basi hili litakuwa tatizo la kitaifa lol
 
Huyu jamaa hawezi kuwa "JF man of the year" labda ubadili hiyo title iwe "mmu man of the year" lakini kwa jf yote no. Ana mchango gani kwenye majukwaa mengine zaidi ya humu mmu? You guys are not serious!
 
Kama walivyo Watanzania wengine wakati wa Uchaguzi Mkuu, hamtaki kushiriki kwenye Uchaguzi japo Thread zimekuwa hapa 1-2 weeks. Washindi wakipatikana kihalali mnaanza kulalamika.

Subiri uchaguzu ujao Mkuu wa 2012 utampigia unayetaka au hata kumfanyia kampeni.

QED
 
Sasa mkuu,
"JF man of the year" halafu kura zinapigiwa mmu?
Ndo maana nikakwambia badili hiyo title.
 
Aisee kumbe kuna zawadi?

Tusker Malt zitanikomaje?

Naomba wanaotaka kujumuika nami katika kuiteketeza hii fifty wanyooshe vidole juu.

Ahsanteni sana.

Kiongozi najua hukustahili hii tuzo, na wewe unalitambua hilo.

Unafahamu kwamba umetumia ubabe wa kuwatisha na kuwashurutisha wajukuu zako wakakupigia kura kwa wingi, tena nimefahamishwa kwamba uligawa kadi za mwaliko wajukuu wote hata wale waliokuwa likizo waje kukupigia kura.

Kwakuwa umefanikiwa kushinda kwa kutumia mbinu mbadala, basi nakupongeza kabisa kwa dhati huku nikutahadharisha mwaka mwingine usirudie kucheza rafu nje ya uwanja kama mwaka huu.

Btw, Honestly nakupongeza kwa dhati kabisa mkuu kwa heshima hii uliyojipatia hapa JF, bila shaka hata familia yako inafurahia kuwa na mlezi kama wewe.

Respect sana kiongozi.
 
Nimeshasema labda title ibadilike na kuwa "mmu man/woman of the year" ndo hawa jamaa wanaweza kuwa "washindi", lakini kwa jinsi ilivyo haiwezekani...ni ushindi wa kupeana tu kisa ni fulani.

Mtu kama huyu ana mchango gani kwenye jukwaa la siasa kwa mfano.
Acheni ushabiki wa kipuuzi, mnaharibu mkidhani mnajenga!
 
kwanza kanigongee like bwana babu!
hehehe io 50 haitoshi bado wadai madeni dah! siamnin kama ilishinda baa kweli mmh.
ODM Likes this

love u too
6.gif
Mmmwwaaa!

Babu ODM, asante kwa kutambua uwepo wangu.
Mie tena, kongosho asali ya babu, ila ilikuwa famili matter.

BTW, umenichekesha sana, kumbe na wewe maneno hamna bora manamba? Dah basi hili litakuwa tatizo la kitaifa lol
Will you marry me?

Huyu jamaa hawezi kuwa "JF man of the year" labda ubadili hiyo title iwe "mmu man of the year" lakini kwa jf yote no. Ana mchango gani kwenye majukwaa mengine zaidi ya humu mmu? You guys are not serious!
Well said. Yaani umemwaga mapointi kama Mizengo Pinda.

Kama walivyo Watanzania wengine wakati wa Uchaguzi Mkuu, hamtaki kushiriki kwenye Uchaguzi japo Thread zimekuwa hapa 1-2 weeks. Washindi wakipatikana kihalali mnaanza kulalamika.

Subiri uchaguzu ujao Mkuu wa 2012 utampigia unayetaka au hata kumfanyia kampeni.

QED

Kiongozi najua hukustahili hii tuzo, na wewe unalitambua hilo.

Unafahamu kwamba umetumia ubabe wa kuwatisha na kuwashurutisha wajukuu zako wakakupigia kura kwa wingi, tena nimefahamishwa kwamba uligawa kadi za mwaliko wajukuu wote hata wale waliokuwa likizo waje kukupigia kura.

Kwakuwa umefanikiwa kushinda kwa kutumia mbinu mbadala, basi nakupongeza kabisa kwa dhati huku nikutahadharisha mwaka mwingine usirudie kucheza rafu nje ya uwanja kama mwaka huu.

Btw, Honestly nakupongeza kwa dhati kabisa mkuu kwa heshima hii uliyojipatia hapa JF, bila shaka hata familia yako inafurahia kuwa na mlezi kama wewe.

Respect sana kiongozi.
Yaani wewe, hebu jichagulie mjukuu wangu mmoja aliye bikira nikuzawadie tena bila mahari.
 
hongera sana mkaguzi....!(wapi zayon dooouuutaaaa?)

ushindiii hooooorrryaaaaaaaaa.....!
horyaaaaaa......!horyaaaa........!

waleteeeee odieem waleeeeteeeeeeeee.....!

"kuku hata asipooga lazima atage yai jeupe"
 
Kama walivyo Watanzania wengine wakati wa Uchaguzi Mkuu, hamtaki kushiriki kwenye Uchaguzi japo Thread zimekuwa hapa 1-2 weeks. Washindi wakipatikana kihalali mnaanza kulalamika.

Subiri uchaguzu ujao Mkuu wa 2012 utampigia unayetaka au hata kumfanyia kampeni.

QED
Mkuu hebu soma vizuri hii certificate halafu linganisha na title zako ref. awards.
Au mnadhani mmu ndo jf?

attachment.php
 
Yaani wewe, hebu jichagulie mjukuu wangu mmoja aliye bikira nikuzawadie tena bila mahari.

Ha ha haa, Kiongozi twende taratibu, kuna taakuukuu I mean Takukuru humu JF wasije wakaku arrest kwa kunitangazia dau(rushwa) la mjukuu hapa JF.

Lakini nimekumbuka, bado wako busy na mgomo wa madaktari, we nikabidhi tu mjukuu mmoja unayempenda sana kuliko wote, na ambaye ni mtiifu kuliko wote tumalize shuhuli kabla hawajavamia jukwaa!!
 
Sasa mkuu,
"JF man of the year" halafu kura zinapigiwa mmu?
Ndo maana nikakwambia badili hiyo title.

Ungeweka Jukwaa gani? Siasa? Uchumi? Michezo? Mchanganyiko?

Ungekuwa na subira kupitia threads kama nilivyoomba hapo juu ungekuta maswali yako yote yana majibu.

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/230010-polls-jf-man-of-the-year-2011-a-6.html
 
Ha ha haa, Kiongozi twende taratibu, kuna taakuukuu I mean Takukuru humu JF wasije wakaku arrest kwa kunitangazia dau(rushwa) la mjukuu hapa JF.

Lakini nimekumbuka, bado wako busy na mgomo wa madaktari, we nikabidhi tu mjukuu mmoja unayempenda sana kuliko wote, na ambaye ni mtiifu kuliko wote tumalize shuhuli kabla hawajavamia jukwaa!!
Wewe bwana kazi yako ni kunitajia mmoja kama anastahili nakusevia. Kama hakufai nakwambia.
 
Ungeweka Jukwaa gani? Siasa? Uchumi? Michezo? Mchanganyiko?

Ungekuwa na subira kupitia threads kama nilivyoomba hapo juu ungekuta maswali yako yote yana majibu.

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/230010-polls-jf-man-of-the-year-2011-a-6.html
We bwana we uchaguzi umeisha....

Leta hela hiyo nikalipie deni la ulabu.
 
Ungeweka Jukwaa gani? Siasa? Uchumi? Michezo? Mchanganyiko?

Ungekuwa na subira kupitia threads kama nilivyoomba hapo juu ungekuta maswali yako yote yana majibu.

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/230010-polls-jf-man-of-the-year-2011-a-6.html

Huu ulikuwa ni uchaguzi wa kuongoza...yaani mmewaongoza watu kupata mtu mnayemuhitaji for your own personal reasons.
Kitendo cha kuweka hii kitu huku ni wazi mme-direct watu wa huku kuwa ndo wapiga kura wakuu.....unategemea nini wana mmu ndo wapiga kura...?

Bado nasisitiza huyu jamaa hana mchango wowote katika majukwaa mengine hivyo hakustahili hiyo tuzo kwa title iliyopo unless you change the title.
 
Back
Top Bottom