Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mchakato wa Kumtafuta JF Man of the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/230010-polls-jf-man-of-the-year-2011-a-6.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

Aspirin ni: JF Man Of The Year 2011 - (MoY 2011)

Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
MoY Aspirin.

Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

Wote Mnakaribisha Kumpongeza
MoY Aspirin kwa Ushindi alioupata.

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images
 
Hongera babu... kama kutakua na juice ya mbilimbi naomba unipigie sim nije kujumuika.
 
khaa umeanza kuipigia mahesabu hujaitia mkononi hii kali ya siku.congrats
 
Hongera sana sana MAN OF THE YEAR. ASPRIN. Nina zawadi yako nimekuwekea Mkuu. Usijali.
 
Hongera sana babu, hiyo hela unywe na bibi. Bila yeye kukung'arisha wajukuu wasingekupapatikia hivyo.
 
hehehe fellow tablet nakusubiria hapa ubalozi wa botswana fanya fasta
Hongela bana, babu kijogoo
 
Asprin a.k.a tablet a.k.a mzizi wa mzungu...hongera...leo kikao wapi maana una 50 elfu nimeona.Zungusha round pliz
 
babu asipilini

hongera sana, afu 10% yangu naifuata.
Hakuna kusema check imefungwa, mara mpesa hakuna netiweki.
 
Fellow tablet hebu hebu weka wazi hapo. Mjukuu yupi tumwendee Botswana. Afu hivi man na woman ofu ze yia si wanatakiwa waoane?
Man na Woman of ze year hata kama hawajaoana lakini ni muhimu kufanya ziara gesti japo kwa siku mbili. Mimi namwendea Keren Happuch botswana wewe mrukie mbili smile apo.
 
Aisee kumbe kuna zawadi?

Tusker Malt zitanikomaje?

Naomba wanaotaka kujumuika nami katika kuiteketeza hii fifty wanyooshe vidole juu.

Ahsanteni sana.
Mkubwa mwenzangu vipi tukutane viwanja gani leo kw aajili ya kusherehekea ushindi...............?
Mie nitakuja na Juice za Kijoti kama Katoni 70, najua wanywaji wapo kumwaga...................................
Hongera sana mkuu.
 
Back
Top Bottom