Asociation of business executives

Steven Robert Masatu

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
2,458
1,821
Wana JF naombeni ushauri kuhusiana na hizi course za ABE ( association of business executives) na jinsi gani zinavyoweza kuapply katika soko la ajira.
Najaribu kufanya utaratibu wa kujiunga ili niweze kufanya mitihani yao mwezi december mwaka huu.

Naona wanatoa mapaka Postgraduate ya Business Management mimi nataka nianze na Advanced Diploma au Higher Dipolma of Business Management.
 
Kwa waTZ walivyo hata ukimaliza watakuona hauna relevant education labda uifanye ukiwa tayari kazini otherwise itakusumbua kama utategemea kuajiriwa uko mbeleni
 
Kwa waTZ walivyo hata ukimaliza watakuona hauna relevant education labda uifanye ukiwa tayari kazini otherwise itakusumbua kama utategemea kuajiriwa uko mbeleni

nashukuru mzazi.
ya sahivi nipo kwenye kazi ndo maana nikaona nifanye kujisomea kimataifa zaidi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom