Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,911
- 32,335
Unafiki tena umetoka wapi? Acha kumuwekea Baba Askofu maneno Mdomoni ambayo ajasema! Baba Askofu aogopi mtu yoyote yeye ni mtumishi wa mungu na ni msomi makini hayo maneno unayosema wewe si yake! Kwa hiyo wananchi waache kufata maneno ya Baba Askofu tufate porojo zako, hii haiwezekani ata kidogo sisi tunafata maneno ya kiongozi wa dini mpenda Amani Baba AskofuNimemwelewa sana kuwa Ridhiwani kazidi kuchochea wanavyuo, Baba Askofu anasema siasa vyuoni hazifai yeye ndio kwanza anasema wazidi kufungua matawi vyuoni, kati ya mimi na wewe nani mnafiki.