Askofu RC atishiwa bastola madhabahuni

Kama mwanamke huyo alikuwa mgonjwa wa akili kwanini walimuruhusu kukaa mbele????
Kicha hawezi kuruhusiwa kukaa mbele kanisani??
Kwa nini alikua na silaha ambayo inamilikiwa kihalali??
Huyo padri aliye murukia mama huyo amesomea mafunzo ya kijeshi?? Au ni freemanson??
Suala la kusema mama nimgonjwa wa akili ni kumupunguzia mashitaka ???
Mtu mwenye mamlaka ya kupima ugonjwa wa akli ni daktari pekee!!
Hapa kuna uwezekano kauli za kanisa katoliki zimewaudhi baadhi ya wanasiasa kiasi cha kuwaondoa madarakani!!!
 
Uchunguzi wa kiafya unafanyika hospitali,kupita daktari wa magonjwa ya akili!
Hizo taarifa za uchunguzi wa daktari huwa zinapikwaga sometimes. Hivo mi nna wasiwasi kwamba huenda wanaoishi naye ndio wanaweza kushuhudia hayo maradhi yake ya akili.
 
Duh!!! Yaani unamyooshea mtu bastola kwa kudhamiria kuua halafu bastola ilikuwa haina risasi mmmhhh!!! Halafu wanasema mwanamke alikuwa na matatizo ya akili inamaanisha ndio maana hata alisahau kuweka pia risasi kwenye hiyo bastola??
 
Yawezekana huyo mwanamke si mkazi wa Njombe wala si muumini wa hilo kanisa, ninavyo fahamu mji wa Njombe ni mdogo, na mhusika angekuwa anafahamika, huyo ametumwa.
 
Back
Top Bottom