Askofu Ndimbo ana kwa ana na Kikwete - amwonya Katiba mpya

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
Kwa upande wake, Mhashamu Askofu Ndimbo alitaka busara zitumike katika mchakato wa kuwapo kwa Katiba mpya nchini, kwa pande zote zinazohusika. Alizungumza hayo wakati Rais Kikwete alipokuwa mmoja wa wageni waliohudhuria kuwekwa Wakfu na kusimikwa Askofu huyo mpya wa Jimbo Katoliki la Mbinga, Mkoani Ruvuma, Juni 5.

Source: Habari Leo
 
Tumechoka ile hali ya funika kombe mwanaharamu apite, bora kumwambia moja kwa moja na waamini wakiwa mashuhuda.
 
Kikwete alifikiri kwa uwepo wake pale maaskofu hawawezi kutoa kauli kuhusiana na suala lo lote kamti ya muhimu kitafia, lakini kwa ufahamu wangu nilijua **** fulani litatolewa na ndio hili la kuhusu mchakacho wa Katiba mpya.,
 
Back
Top Bottom