Elections 2010 Askofu Mokiwa akataa rushwa ya Sh11 milioni!

jamani yaani hizo zingekatiza upande wangu walah zingenikoma:dance:
 
Huyu Askofu siamini kama aliyosema ni kweli maana namjua ni mpenda pesa sana kuliko hata anavyompenda Bwana Yesu anayemhubiri, Kwanza yeye ni miongoni mwa mafisadi kwani ana uchafu mwingi wa kifisadi ndani ya kanisa hilo analoliongoza. Huyu hawezi acha hata 10,000/-
 
Utoaji wa pumba ni kipaji!
 
angezichukua,angewaita waandishi wa habari na kisha kuzipeleka kituo cha watoto yatima,kuwarudishia hizo pesa wahusika ni kuwajengea mazingira ya kumtafuta mtu mwigine wa kumpa hizo pesa ambazo ni haki yetu,

ni kweli hujakosea, lakini pesa yenye laana, utawalishaje watoto yatima??? mi nadhani pia kuzirudisha ni jambo jema
 
CCM mwaka huu watafulia, hizi ni kampeni makanisani...tatizo letu Watz tunajidai hatuna udini kumbe ndo namba moja!!!
huyu kiongozi mpya anaweza kuwa Lipumba, mbona unahamaki? au huna imani na Lipumba mpaka unamuona ni yule mwingineau wengine.
 
Most Conservative Bishop katika Tanzania na pia watu kama hawa na Kakobe safi sana katika Taifa la Tanzania
 
Huyu Askofu siamini kama aliyosema ni kweli maana namjua ni mpenda pesa sana kuliko hata anavyompenda Bwana Yesu anayemhubiri, Kwanza yeye ni miongoni mwa mafisadi kwani ana uchafu mwingi wa kifisadi ndani ya kanisa hilo analoliongoza. Huyu hawezi acha hata 10,000/-
mi nadhani tathimi hii angeitoa mkewe na siyo wewe, maana ni mtu wa karibu sana na tabza mumewe, samahani lakini hivi kwa alkili ikiwa hazijachakachuliwa, tuamini la kwako ama tumwamini yeye? hebu tusaidie,
 
CCM noma, wanahonga hadi wachunga kondoo wa bwana?
Hivi wanazipata wapi hizi hela? "kama wamenunuliwa au wamekopa, watazilipaje?" Maneno ya mwalimu haya
 
angezichukua,angewaita waandishi wa habari na kisha kuzipeleka kituo cha watoto yatima,kuwarudishia hizo pesa wahusika ni kuwajengea mazingira ya kumtafuta mtu mwigine wa kumpa hizo pesa ambazo ni haki yetu,

humu jamvini mawazo hulandana sana. Hata mie ningezilamba. Kuna wengi wanazihitaji
 
Unamaanisha aMENGIlize issue siyo? Yataka moyo mkuu, mapinduzi si mchezo
Sasa gia yenyewe anayotumia kama ndio hiyo tutajuaje kama anazuga tu? Mtu mzima unapozungumza kitu inakubidi ukizungumze kikamilifu, sio nusunusu! otherwise sio wengine tutakuona joker tu.
 
Kwanza nimeshikwa na butwaa, kumbe wanahonga hata wachunga kondoo? Na mpaka wafikirie kukuhonga inakuwa wamekuona wewe sio mchunga kondoo kiroho, wamekudharau, wamekudhalilisha.

Ilikuwa ni kazi ya Askofu kukemea kitendo hadharani na kuwataja bila kumumunya midomo kwa faida ya kondoo zake. sasa kama mti mbichi umehongwa mkavu unatupiwa tu moto.

NAipenda Tanzania nchi iliyojaa Vituko.
 
hapa nawambia tayari wana wa israel ( watz ) tunaongozwa toka utumwani misri ( ccm )
ndio maana tayari mkono wa MUNGU tunao kila hila zinazojitokeza kabla ya uchaguzi
zinajifichuwa zenyewe.
nawaomba ccm muache hila zozote mtaumbuliwa na Mwenyezi MUNGU.
CHADEMA NJIA NI NYEUPE kwenda KANANI (Ikulu),msiogope hila za ccm
 
Back
Top Bottom